OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 602
- 1,464
Wakuu kweli inahuzunisha pale mwanamke anapojidhihirisha kuwa na yeye ndiyo wale wale wa kinyume na maumbile hasa wanapojaribu kumzalimisha mwanaume asiyejua hayo mambo afanye hivyo watakavyo na asipofanya basi huonekana mshamba wa mapenzi.
Pia yupo nyuma ya wakati sijajua kwanini baadhi ya wanawake na hata wanaume hufanya hili jambo kama fashion wakati sio sawa kimaadili na kimaumbile mimi binafsi nikichukua na nafasi za wanaume wengine ni iko wazi mwanamke wa design hii huwa na nafasi finyu ya kuthaminiwa au labda mwanaume mwenye busara.
Kuchukua uamuzi wa kumuoa sasa wakuu nilikua naomba ushauri kuna dada mmoja hivi nilikua namkubali sana na nilikua na malengo nae hapo baadae nije nimuoe ila naye nimegundua ndiyo wale wale basi ndoto zote kwisha na nimetokea kumdharau na siko na malengo nae tena.
Je, ni sahihi nilichokiamua??