Involuntary action

Involuntary action

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
IMG-20180208-WA0003.jpg
Trust me kuna vitu huwezi kuvifanya ukiwa katika pozi fulani... Utajikuta tu automatically unafanya movement fulani ili kuruhusu kitendo fulani kuchukua nafasi ya kufanyika..
Hebu jaribu kupiga mwayo huku umefumbua macho uone utakavyopata shida...
Hebu jaribu kupiga chafya huku umeziba mdomo uone utakavyohangaika
Hebu jaribu kulala huku umesimama uone kama utaweza
Hebu jaribu kutoa ndogo na kubwa kwa wakati mmoja ushuhudie ugumu wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (acha mawazo machafu)
Kuna vitu ili vifanyike kwa uhuru na ukamilifu wake ni lazima aidha vipate nafasi ama kimoja kimsubiri mwingine.. Huwezi kulia na kucheka kwa wakati mmoja...

Najua wengi mna date na wapenzi zaidi ya mmoja... Lakini inakuwaje unawapenda wawili hali una moyo mmoja...!? Hakika kuna mmoja utakuwa unamdanganya... Ni yupi kati yao? Hiyo ni siri yako... Moyo umeumbiwa mmoja tu na kupenda ni involuntary action.....
Save the date 14 Feb.. Loading........!!
 
72f0dd7f7999019699bb754b8280cd11.jpg

Mshana jr tafadhali ndugu yangu mambo ya kutupiana vitu vya ajabu sio mazuri.

Huyu paka toka jana asbh yupo chini ya gari hataki kutoka nimeenda nae mpk masaki na jioni nimerudi home yupo tu leo nmeshindwa kutoka na gari kwa sababu analia tu nisije nikaonekana mchawi kazini.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe mmea atashuka.. Hujui kuna ni askari wa kujitolea?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe mmea atashuka.. Hujui kuna ni askari wa kujitolea?

Leo nmemuwekea mpk nyama atoke lkn wapi

Asbh nmehangahika nae zaidi ya nusu saa mpk nikaamua kuomba lift nmewapa vijana kazi wamtoe mpk sasa hivi sijapata jibu kuwa katolewa
 
Leo nmemuwekea mpk nyama atoke lkn wapi

Asbh nmehangahika nae zaidi ya nusu saa mpk nikaamua kuomba lift nmewapa vijana kazi wamtoe mpk sasa hivi sijapata jibu kuwa katolewa
Hana shida muache tu.. Angekuwa mweusi ningekushauri tufanye maarifa
 
kwa uchochezi unafaa kushika no.1!
nipe nambari ya huyo dada pichani..

hlf unaposema kwamba moyo ni wa mmoja unawafikiliaje wale wa swala tano..?
 
kwa uchochezi unafaa kushika no.1!
nipe nambari ya huyo dada pichani..

hlf unaposema kwamba moyo ni wa mmoja unawafikiliaje wale wa swala tano..?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa hapo mchochezi ni nani kati yangu mimi na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom