Hivi nini maana ya Miss Bwawa?

Hivi nini maana ya Miss Bwawa?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,087
Reaction score
5,900
Hapo vip!!

Leo asubuhi nimemsikia kondo akimtupia mdada maneno, eti ww unaringa nini hata kichaa anayo,halafu wewe Miss Bwawa tu.. But tatizo mdada amekataa kupanda kwenye gari Lake.

Huyu konda mimi kaniacha kwenye bracket, hivi wadau nini maana ya Miss bwawa..
 
Liko wapi hilo bwawa nioneshe ndio nayapenda hayo tena liwe limejaa maji ya kutosha. Mambo ya kubanana kwenye vibwawa vidogo sipendi mimi.
 
Hapo vip!!

Leo asubuhi nimemsikia kondo akimtupia mdada maneno, eti ww unaringa nini hata kichaa anayo,halafu wewe Miss Bwawa tu.. But tatizo mdada amekataa kupanda kwenye gari Lake.

Huyu konda mimi kaniacha kwenye bracket, hivi wadau nini maana ya Miss bwawa..
Huyo Konda ndo miss bwawa maana hana ustaarabu.
 
Si kila unachosikia uje ukiweke jukwaani mengine unachuja kwanza. Hatukumsikia konda lakini sasa tunaangalia uwezo wako wa kufikiria
Dah!! Mbona hii mada imekugusa sana au unamtetea yule Miss bwawa mwenzio.. Mimi nimeuliza swali kama wewe umeona alinamaana ungeanza kupuuzia hii mada..
 
miss bwawa hebu kamulize dada ako atakufungua akili
 
Hapo vip!!

Leo asubuhi nimemsikia kondo akimtupia mdada maneno, eti ww unaringa nini hata kichaa anayo,halafu wewe Miss Bwawa tu.. But tatizo mdada amekataa kupanda kwenye gari Lake.

Huyu konda mimi kaniacha kwenye bracket, hivi wadau nini maana ya Miss bwawa..
Kwa wewe uliona lazima huyo dada apande hilo gari au konda yupo sahii kumtusi huyo dada
 
Back
Top Bottom