Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,170
- 3,028
Siku hizi kuna hili neno ki benten ambalo kijana mdogo aki date na mwanamke mwenye umri mkubwa anaitwa ki benten .. sijajua origin yake n wapi na kwann watu waite ki benten kwann isiwe ki bennine au ki bentwo.. limetokea wapi hili neno...? Nini asili yake.. maana haliko kwenye kamusi yoyote.... ki benten.