Vijana wengi hukosea uvaaji wa kondomu/mpira

PITCOL

Senior Member
Aug 8, 2017
128
66
Habari JF,

Vijana wengi hasa wale wanaoanza mapenzi hawafamu vizuri hatua za uvaaji kondomu, hii upelekea matumizi mabaya ya kondomu.

Kondomu inaweza chanika hivyo kupata maambuki ya magonjwa ya zinaa au UKIMWI pengine hata mimba zisizotarajiwa.

Kuwasaidia vijana nimeka kivideo kinaonyesha hatua ni animation/katuni video.

Kondomu ya kiume.

Update:
Baaday ya kupata maombi kadhaa kutoka kwa wadau, nimeamua kuweka pia hatua sahii za uvaaji kondomu za kike. hizi hapa

Ahsante.
 
Nakumbuka miaka 15 iliopitiliza..... wakati wa ujana wangu, nilikuaga natoboa, then nasinguzia nilikosea ndomana ikatoboa msaidizi wa fundi....
 
Habari JF,
Vijana wengi hasa wale wanao anza mapenzi hawafamu vizuri hatua za uvaaji kondomu, hii upelekea matumizi mabaya ya kondomu. Kondomu inaweza chanika hivyo kupata maambuki ya magonjwa ya zinaa au ukimwa pengine hata mimba zisizo tarajiwa.

Kuwasaidia vijana nimeka kivideo kinaonyesha hatua ni animation/katuni video.

Asante.

Mkuu ukiweza leta na zile nyavu za kuvulia dagaa za kina dada(lady pepeta). Maana nina uhakika 99% ya Ke' hajui namna ya kuzitumia.
 
Kuna sehem nilikwenda kuna uhaba wa cndm mtu anatumia condom moja hata mara 3.

Akipiga bao anaigeuza nje ndani
Mkuu huyu anakuwa hana elimu ya matumizi ya Ndomu, ukigeuza maana yake kwamba wale bacteria, virus etc walio side ya ndom ilikogusa K unawaleta kwako na wale waliokuwa kwako unawabandika kwa K, hiyo mnakuwa mmeambukiza kwa kupitia ndom,.
Kwenye tendo la ndoa siku zote hamnaga kushitukizwa ,hili huwa linapangwa kwa nn mtu uamue kwenda kufanya shoo kwa zana moja tu ili hali unajua kabisa una ukame.
 
ELIMU ELIMU ELIMU
 
ELIMU ELIMU ELIMU
Ama kweli elimu inahitajika .
Juzi hivi nilikuwa nateta na kijana mwenzangu wa Jinsia ya K, ikafikia hatua akawa amenogewa na akaniomba tukapime then tufanye shoo ya vuta nikuvute, nilimpongeza kwa wazo la kupima I mean VVU, lakn pia nami nikaenda mbali kidogo ya kwamba baada hata ya hicho kipimo yatupasa tutumie Condom ili kuepusha magonjwa mengine ya zinaa na mimba ambayo tusingependa itutokee, maana mi naamini hamna mimba ya Bahati mbaya ,twajua ya kuwa ukipanda mbegu lazima utegemee itamea ikiwa katika mazingira rafiki yakuiwezesha kumea.
Lkn pia nilishangaa mwenzangu maana aligoma kabisa tusitumie kondom eti kisa tu hata furahia tendo hilo.
Elimu hapa inahitaji sana ili kutusaidia cc vijana, ukisha kuwa mtu mzima I mean above 18 Yrs tendo la ndoa halikwepeki, halina cha Mchungaji, askofu, shekh n.k cha muhimu hapa elimu itolewe kwa malika yote nasema hivo kwa sababu wapo pia Watu wazima kabisa tena public key person lkn wanafanya madudu kwa mission ya mapenzi.

ELIMU NI MUHIMU.
 
Back
Top Bottom