floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 858
Habar wakuu
Leo ni siku ya Valentine naona watu wengi haswa watu Wa Instagram wameivalia njuga siku ya Leo.
Wanadai ni siku ya kufulaia mapendo kwa wapendwa wao..wanasema ni Upendo Wa dhat kufuraia siku ya Leo wakiwa na wapenz wao / wake zao
Mimi nimekua tofaut kidogo siku ya Leo naiona ni siku yakawaida tuu pia nikisikia valentine ,naona kama wanazungumzia upuuzi tuu
Naona kama ni kukosa shughuli za kufanya ,mtu kuhangaika na sherehe za kijinga kama hizi...
Naona hizi sherehe tuwaachie wanawake ,,washerekee wao na watoto zao ...sio MWANAUME unahangaika et kumfanyia saplaizi wanamke wako....ujinga mtupu