Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,470
Kichwa cha habari chajieleza,
Katika hali ya kustaajibisha kumeibuka wimbi la matumizi ya vijana na ugoro!
Moja nilishuhudia mkoani Arusha na Dodoma baada ya kukutana na marafiki kadhaa ambao wote kwa nafasi tofauti na wasomi Wa viwango vya degree!
Utafiti nilioufanya si tu kwamba wana nguvu ya manunuzi (Purchasing power) lakini pia ni watumishi Wa umma katika idara tofauti na wote niliokutana nao wanakipato kizuri tu..
Kilichonisukuma nilikua najiuliza hata tuki hangout ghafla mmepiga labda bia tatu mpaka 4 unaona wanalipuka na kulewa chakari!
Kilicho nistua wengine wako katika medani za ulinzi na usalama na mmoja yuko mjengoni pale (Najua yumo humu, im sorry!)
Mbaya kuliko nimeishudia kwa mwana mmoja mwana medani kwamba akitumia ila kitu analiachia kojo kitandani..
Aina hii ya uraibu imenishangaza mno kwa vijana wadogo wenye mishahara mizuri kuingia katika ulevi huu uliokubuhu..
Ugoro si mihadarati? Ni mechanism gani inayotumika kwamba mtu akiweka mdomoni ghafla analipuka na kulewa chakari? Kwanini isipigwe marufuku?
Kulikua na wimbi la balimi na ulevi uliotopea lakini baada ya kupunguzwa kilevi (Inasemekana) na wanywaji nao wameikimbia..
Tatizo ni nini?! Nini kifanyike? Ugoro unatengenezwa na nini? Hauna side effects zozote ?!
Puzzled!