Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu.
Vigezo
-awe Tanzania
-mkristo
-umri kuanzia miaka 25
-awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo...
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia...
Tips mara nyingi hutolewa kwa wachumba/wapenzi yaani ile mnaagana baada ya kukutunuku una mkatia wekundu kadhaa bila hata kukuomba.
Bahati mbaya wengi husitisha hizi tips mara wawili hao...
Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe...
Eti mwanamke anakuimbia kila siku nakupenda kisa mna long relationship such as 10yrs then badae mnakuwa mke na mume sasa huyu mwanamke anakuambia every day anakupenda na kweli kwenye...
Nina mpenzi wangu yapata miezi tano hatujawahi kukosana lakini ananichanganya natamani nimuache sababu nahisi sio mwaminifu kwangu maana ananipigia simu au sms akiwa nashida ya pesa tu kingine...
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa...
Mwenzenu naomba ushauri wenu,
Nipo katika mahusiano na mchumba wangu mwanzoni tulikua tunaishi vizuri tu baadae mabadiliko yakaanza kuwasiliana ikawa kwa tabu kidogo nilipomuuliza akasema tatizo...
NAMPENDA MKE WANGU..
sijuti japo dakika
kumpenda mwari yule
na kwao nilishafika
Kuchunguza pole pol
Nikapewa data zake
Tena kinagaubaga
Na sifa za waze wake
Hakika ndizo kaiga
tabia yake adimu...
Salaam sana wana MMU wote;
Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne.
Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001...
DENDA HAINA MADHARA, MADHARA YAKE NI UTAMU UKIZIDI.
Katika mapenzi denda inakorombeza na kushawishi mvuto wa kuangukia kitandani kucheza mchezo wa Baba na Mama.
Denda inaambatana na mate, kama...
Habari wadau, mara nyingi katika sherehe za harusi mbalimbali kumekuwa Na ahadi au zawadi ambazo Bwn harusi Na Bi harusi wamekuwa wakihaidiwa Na marafiki au wafanyakazi wenzao, unakuta mtu...
Hii inatokana na wengi kua na expectations fulani kutoka kwa wapenzi wao siku hii na pindi matarajio hayo yasipotimizwa basi maamuzi makubwa hufanyika maana mtu anawaza yaani huyu na valentine...
" Nishauri kitu, kuna mtu nimeachana nae ila ananifanyia fujo nakosa amani, anataka nimlipe hela zote alizokuwa ananipatia za matumizi nifanyeje, au nikienda polisi nitapata msaada?"
Kwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
Aina kumi za wanawake
1. Washirikina
Wanawake asilimia kubwa ni washirikina, na hata kama hakuzaliwa kwenye ushirikina ni rahisi zaidi kuingia kwenye mkumbo wa wanaoamini ushirikina, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.