Popo Bawa wewe ulichonifanyia, sikubali

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,023
2,000
Mmmmmmhhh yaaani kilichonitokea jana usiku looh,sina hamu Kasinde mie....

Kama kawaida yangu baada ya kutoka job nimeongia home kwangu baada ya mazoezi ya yoga nikaoga nikapata light dinner yangu huku naperuzi mtandaoni nikawa napata glass ya wine before sijalala.

Sasa nusu saa baadae nikaingia chumbani kwangu kulala, jana kibamia wangu hakuja hivo nilikuwa mwenyewe na hapo home kwangu siishi na mtu. Nikazima taa na kufunga milango yangu nikalala.

Usiku nikasikia kama ubaridi umekuwa mkali nikazima AC lakini bado baridi ilizidi nikaamka kwenda maliwatoni ambako ni humohumo ndani kwangu ile kurudi kitandani najifunika shuka hivi looh nikasikia nimekamatwa mbaya halafu akawa anafanya rafu sasa.

Nikitaka kupiga kelele sauti haitoki ila popobawa yule akawa anaendelea kukamua daaah!!!

Nikakumbuka usemi mmoja kuwa ukiona unabakwa na huna jinsi ya kujinasua ni kulegea tuu walau uinjoy mchezo.

Baada ya kujaribu kufurukuta sana hadi jasho kunitoka nikaamua nimwambie basi walau nilainishe nami niinjoy game hiyo, waaapii popobawa akaendelea kukamua mbaya zaidi akawa anapiga rafu daaah sikuamnini kilichotokea.

Alipomaliza akaniambia ''poleee nilikuwa nakutafuta nionje utamu anaoupata kibamia wako, am sorry to be rude ila ur so sweet.''

Kila nilipojaribu kumjibu sikuweza ila kama nikawa napititiwa nausingizi mzito au kuishiwa nguvu sikumuona tena na nilipostuka tena usiku nikakimbia mbio chooni nikakuta nimelowa na madude yake aaaggghhhrrrr yaani hapa nina hasira, najua wewe popobawa uliyekuja jana kunifanyia uhuni wako uko humu, nina hasira na wewe na sijakubali ulichonifanyia.

Nimeagiza paja la kitimoto leo naenda kuchonga ule mfupa wake naukausha na kuuchoma nakuhakikishia lazima nikulipizie kisasi na huo mfupa wa ngurue.

Popo bawa just stay tuned!! and get ready for the revenge!!
 

speedcom

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
320
250
Hamna lolote, uzushi tu wala mada yenyewe haina mvuto. lngekuwa hivyo ungesema wewe? Mambo yashapitwa na wakati hayo.
 

TIKO TRICKS

Senior Member
Jan 2, 2014
185
225
Mhh...huyo popo bawa hana ndugu wa kike? Kama ana dada mwambie aniunganishe dadaye aje tubakane...
 

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
2,976
2,000
Kasinde mi huwa nashindwa kukuelewa we dada mzuri, yaaani popo bawa kapiga mzigo lol.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom