Je hii ni ishara ya upendo alionao kwangu ?

Je hii ni ishara ya upendo alionao kwangu ?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka sasa ingawa kuna baadhi ya siku huwa tunapishana kiswahili na kugombana lakini inapotokea hali hii huwa tunayaongea na kumaliza tofauti zetu.

Mara nyingi ninapokua nimemkosea huyu mwandani wangu na kumuomba msamaha hunijibu kirahisi "nishakusamehe muda tu".Huwa haonyeshi hata kausumbufu kwenye kutoa msamaha pindi ninapomkosea.

Kutokana na hali hii huwa najiuliza kwanini huyu mwandani wangu hunisamehe kiurahisi hata kama nimemkosea kwa kiasi kikubwa.

Je hii ni ishara ya upendo alionao juu yangu ?
 
ndio wote huwa wanajibu hivyo, hata wanaume. Hata kama hajakusamehe au kweli kakusamehe.
 
Kangu nimekatia makofi ya maana jana, mwanamkr haishi gubu, maneno kila wkt. Nimetia makofi akaenda lala kwenye sofa na papuch yakr nimesusa wiki sasa.

Hapa nataka within this year nipige chini na kipigo juuu
 
Anafahamu strength na weakness zako so kusema kakupenda bado sina uhakika.
 
Back
Top Bottom