Kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu mwanamke, ushauri wenu ni muhimu

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Naelekea kugive up kwa huyu mwanamke, kiufupi nampenda sana naye anatambua hill ila siku hizi bwana haoneshi kujali kama alivyokuwa akifanya siku zilizopita. Mfano, meseji mpaka nimuanze mimi, anajibu mda anaojisikia, anadai yupo busy lakini huwa namuona yupo online WhatsApp wakati huo hajajibu text yangu.

Siku hizi mpaka nimpigie yeye hakuwahi kuonesha hasira za wazi, lakini siku hizi nikienda tu kinyume naye anakasirika sana.

Juzi nilimwambia should I give yo a space for some days? Alijibu hawezi kufanya hivyo kwasababu anahisi nitaumia kumkosa.

Sasa sijui natamani kutoa maamuzi magumu tena ya kiume dhidi ya kiumbe hiki. Ila bado roho yangu inasita kwasababu nishawekeza sana kwake.

Ushauri
 
Ushakua na swaga za kilooser one thing in life as a man never put a woman on a pedestal, when you do so she is now in a position of power...kwa kifupi ameshajua your weakest point na ataitumia to her best advantage
 
kwanini unawekeza kwa hawara?
tatizo lilipoanzia ni kuwekeza kwake ndio maana unalialia hapa

sasa cha kufanya anza kuondoa uwekezaji kwake
kisha muwekee vikwazo vya uchumi kama urusi kisha lala sana ukiwa unacheka maana atakua anakulilia
 
Kuna tatizo mahala, hebu jichunguze na umchunguze huyo mwanamke..

Mtu hawezi kubadilika bila sababu!!
 
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake

Matumizi sahihi ya fahamu yanakuweka mbali na mabalaa mengi maishani.....matumizi mabaya ya fahamu zako itakuletea mabalaa mengi maishani mwako.........

Think big take control of your destiny
 
Mbula Mangi imeshakula kwako arifu,mm ni mchaga na nshakuwa na mwanamke wa kichagga!akishaanza kubehave hivyo jua ameshaona mwingine mwenye pesa babaangu,kula kona mapema
Aisee
 
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake

Matumizi sahihi ya fahamu yanakuweka mbali na mabalaa mengi maishani.....matumizi mabaya ya fahamu zako itakuletea mabalaa mengi maishani mwako.........

Think big take control of your destiny
Ukweli mchungu ndo huu, dah USHAURI WAKO umejaa misumari mkuu, ila nimeukubali na nitaufanyia kaz
 
kwanini unawekeza kwa hawara?
tatizo lilipoanzia ni kuwekeza kwake ndio maana unalialia hapa

sasa cha kufanya anza kuondoa uwekezaji kwake
kisha muwekee vikwazo vya uchumi kama urusi kisha lala sana ukiwa unacheka maana atakua anakulilia
My unamanisha nimnyanganye kila kitu nilichimpatia ?
 
Ushakua na swaga za kilooser one thing in life as a man never put a woman on a pedestal, when you do so she is now in a position of power...kwa kifupi ameshajua your weakest point na ataitumia to her best advantage
Hujakosea bwana mdogo she is now taking advantage
 
Ushawahi kaa nae ukamuuliza sababu ya yeye kubadilika?

Pia kama ulimwambia umpe nafasi kwa siku kadhaa yeye akajibu wewe ndiye utakae umia inaonesha kwake hata hisi kuumizwa na kitendo hichi.

Mi naona jaribu kukaa nae chini, asipojali mi naona ni muda wa kuanza maisha upya kivyako.
 
Mbona wazazi wetu waliwekeza sana kwetu lakini tumewaacha tupo na maisha yetu wao inabaki misada ha mbali sembuse huyo unaye kojorea tu chapa lapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom