Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaaamu zenu wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, kuna dada tuliwahi kuonana Dar tukapeana namba nikaimbisha mistari yangu akakubali pindi alikuwa keshaondoka yupo mkoani, mawasiliano yakaendelea...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
1. Mawasiliano yanapungua kila mnavyozidi kuendelea. 2. Kila mara ukiwasiliana naye anakwambia yupo bize atakupigia badae hala wala hakupigii. 3. Kila unapompigia au kumtumia msg majibu yake...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna Siri gani iliyojificha ambayo naiona sana huku Uswahilini / Uswazinyo Kwetu kwamba endapo Mtoto wa Kike ( Binti ) au Mwanamke akiwa hajui kuosha vizuri Mwiko, Sufuria na Mchi ule wa Kutwangia...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Nawasalimu wanajamvi, Yamkini mlipendana sana,tena sana na mkapanga kuoana na kuwa na familia bora yenye watoto kadhaa. Ikatokea mpenzi wako aidha akatangulia mbele ya haki au akakusaliti na...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamani habari za majukumu poleni jamani naomba unishauri mimi nilikua kwenye mahusiano na mwanamke flani sasa kulingana na dosali ninazo ziona nimesha samehe nimechoka jana nikaamua kusitisha...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari zenu wana MMU. Katika kufikiria mapito ya ujana na maisha kwa ujumla, nimekumbuka mambo flani ambayo kimsingi naona ulikua ni upuuzi kiwango cha PhD. Kwa dhamira ya kuheshimu ndoa na...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya mianjo yangu ya kutafuta chochote kitu kitachosababisha wanangu wafike bara la Africa na Haiti (Thothole/chooni) nje ya mkoa wangu kwa takiribani wiki tatu hivi, niliamua kutafuta papuchi...
7 Reactions
81 Replies
7K Views
Kuna tabia sehemu yenye mkusanyiko wa watu wanaofahamiana, mfano maofisini, mtaani, kwenye maflat unakuta mdada mmoja katembea na wanaume hata 10, yeye kwa ujinga wake anakuwa anadhani ni siri...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa ujumla inauma Sana unapokua Una mpenzi au mke unajitahidi sana kumuhudumia, ili aridhike asihangaike na bakora za nje. lakini inakuwa tofauti. inawezekana labda maamuzi yenu yanatokana na...
3 Reactions
133 Replies
9K Views
Habari za jioni makaka na madada humu ndani? Nilipokuwa single nilitamani kuishi maisha mazuri ya kifahari na mume mwenye pesa nyingi za kutosha. Dua zangu Mungu amezisikia naishi vizuri sina...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Habari wakuu Poleni na mihangaiko ya kila siku.Bila kusahau changamoto zake Wakuu leo nimeponea Tundu pa sindano Nimeamka asubuhi nina mihemko ya kongoka vibaya mno.Nikasema labda nipate...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
unakutana na mwanaume, mnabadilishana namba, mnakuwa marafiki, unagundua yeye anaishi pekeyake na wewe unaishi peke yako. Cha ajabu anapogundua tu kuwa unaishi peke yako anang'ang 'ana aje kwako...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaishia vizuri.
2 Reactions
125 Replies
10K Views
Habari zenu wana MMU. Naenda moja kwa moja kwenye mada... Ilikua mwaka 2005 wakati huo nikiwa Form 2 (Darasa la kumi) nikiwa nasubiri matokeo ya mtihani ambao nilikua tayari nilishafanya. Wakati...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, nadate na mke wa mtu sasa mimi nilijua ni siri yangu na yeye, nashangaa juzi ameniambia nimsindikize mahali vuuuuuuuh tunafika nakuta nimeandaliwa chakula...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
3 days ago [https://2] Habari wadau/wakuu Niongee kidogo kuhusu sumu ya mahusiano yetu KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi unapata wapi Ujasiri / Ushujaa kabisa wa ama Kuanzisha Mahusiano au Kuoa kabisa Mwanamke ambaye tayari ameshazalishwa huko na Mwanaume mwenzako na akawa mwenza wako? Hivi enyi Wanaume wenye...
13 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari wakuu, Bila kupoteza muda naombeni ushauri haraka sana kabla sijafanya maamuzi ya mwisho, ni hivi mimi nimekua kwenye uchumba na mrembo wangu kipenzi kwa miaka mitatu na mpenda na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…