Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

gadrock

Senior Member
Oct 7, 2016
151
103
Habari wadau,

Ni wiki ya tatu tu tangu nipate kazi katika moja ya mashirika binafsi hapa nchini. Ni jambo la heri ukizingatia ndio kwanza nimemaliza chuo mwaka jana novemba.

Nilikuwa mwenye furaha sana kama mnavyo jua ( nilikuwa kama ndama aliyetoka zizini kwa mara ya kwanza). Ghafla faraja na furaha niliyokuwa nayo inapotea baada ya afisa muajiri (human resource) kuanza kunisumbua ananitaka kimapenzi (si vibaya), tatizo ni mtu mzima anayekaribia kustaafu (50+) yrs, ameolewa na mume wake ni boss mkubwa tu. Ni kama bibi yangu vile!

Hivi sasa amefikia pabaya, analeta figisu figisu hata kazi zangu haziendi. Ananiambia atahakikisha naiaga ofisi. Kazi naipenda haswa ila afya yangu naipenda zaidi . Nashindwa nifanye nini kwa sasa? Ushauri wenu ni wa msingi sana.

Hali hii inanifanya nashindwa kufikiri sawa sawa.
 
Angekuwa anakupenda asingetishia usalama wa kazi yako.

Halafu jiulize,kwa umri alionao na hulka yake hiyo......ameshatoa ofa kwa wangapi?

Hapa ndipo akili ya darasani huachwa kidogo na kutumia za kuzaliwa. Nachoamini umepata kazi hiyo kwa vigezo na siyo njia zinazotia shaka,na naomba iwe hivyo.

Kitonga siyo issue
 
Habari wadau,

Ni wiki ya tatu tu tangu nipate kazi katika moja ya mashirika binafsi hapa nchini. Ni jambo la heri ukizingatia ndio kwanza nimemaliza chuo mwaka jana novemba.

Nilikuwa mwenye furaha sana kama mnavyo jua ( nilikuwa kama ndama aliyetoka zizini kwa mara ya kwanza). Ghafla faraja na furaha niliyokuwa nayo inapotea baada ya afisa muajiri (human resource) kuanza kunisumbua ananitaka kimapenzi (si vibaya), tatizo ni mtu mzima anayekaribia kustaafu (50+) yrs, ameolewa na mume wake ni boss mkubwa tu. Ni kama bibi yangu vile!

Hivi sasa amefikia pabaya, analeta figisu figisu hata kazi zangu haziendi. Ananiambia atahakikisha naiaga ofisi. Kazi naipenda haswa ila afya yangu naipenda zaidi . Nashindwa nifanye nini kwa sasa? Ushauri wenu ni wa msingi sana.

Hali hii inanifanya nashindwa kufikiri sawa sawa.
aliyekwambia huyo mama mgonjwa ni nani?
 
Umeshapiga ukaona kibamia kinaelea kwenye bwawa sasa ndio unakuja kuomba huruma ya jf. Endelea kupiga mkuu huwezi kujitoa umeshameza ndoano. Vijana mliotoka chuo mnapenda sana kitonga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom