Seven things women always lie about

Oppomall

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
3,496
3,591
Don't believe a woman when replies the following seven answers;
3b87b0cd777514364012ce93709e109c.jpg
503929217e931cfb778a9452e82c3a62.jpg
113277bc5fda86ff41be0b425a0a6bc3.jpg
67fb80e57ac7d09054049bc90ddbd552.jpg
209e1f2af17a02cd99c9c249eb9bda24.jpg
76823650ee86eebe01242f597d5549a4.jpg
5a8e0290e0e20dff1498ccd9f4cd5d21.jpg
 
Siku zote uongo ni asili ya mtu hakuna cha Me wala Ke hapo tofauti ni namna tunavyovipokea.

Na pia niseme tu katika yote hayo ikitokea mwanamke au mwanaume akaviamini pale anapoambiwa na huyo mpenzi wake jua ana shida sababu vingi havizuiliki hapo. Hasa namba moja na hiyo nne.

Na hiyo namba sita. Mmh.
 
Siwezi kamwe kujali mahusiano ya aliyekuwa hawala yako
Ukiona mwanamke amesema hivo ujue anakudanganya, badala yake ataangalia kwenye Instagram na Facebook ya hawala yako ili aweza kujua kama yeye yuko moto moto kuliko hawalayo na pia ataendelea kufikiria hisia zako juu ya hawalayo na kama zitakuwa sawa au zaidi kwake.
Kingereza sijui sembuse kiswahili

Teh
 
Sawaaa hata mm nina tabia hiyooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom