samir nassir
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,119
- 1,479
Ndugu yangu wakaribu kaja kunifata nakuniomba ushauri yeye alimuingilia mwanamke kinyume na maumbile sasa siku yapili kampiga cm kuwa dem wake yupo hospitali nakule nyuma ya ukuta kimetoka kinyama na kimetoka kuwa kikubwa sasa pesa ya matumizi hana amtumie laki tatu jamaa yangu aliogopa akamtumia anasema mpaka inafika uck kashamtumia kama laki 6 anasema kile kinyama kili rudi kwa maumivu sana ya anakaaa siku yapili anasema kuwa kimetoka nnje sasa apo ndokanifata kuniomba ushauri afanye nn je ni kweli au anachezewa mcjezo wadau