Nimejiuliza sana jambo hili;
Kwanini watu wanacheat katika mahusiano yao?
Je sababu za kucheat ni zipi wadau?
Au labda:
1. Wapenzi tulionao sio wale tuliofikiri watatufaa?
2. Au tabia chafu...
Naomba kuuliza hili jambo ni sawa au huyu mdada ana appetite isio na kipimo.
Kuna mrembo mmoja kwenye kugegedana kila ukipooza anafyona fyona na kulalamika. Kama mara mbili haya yamenikuta...
Wanawake wengi sana wa Siku hizi kila unapokuwa nae ' Shambani ' mnalima kwa pamoja hupenda kuchukua zile Mbegu ambazo Wanaume zao / Wapenzi wao Sisi huwa tumezishika na kuzipanda katika ' Mashimo...
Hii imenitokea kwa ndugu jamaa na marafiki wengi sana, unakuta mtu anatoa harufa mbaya sana ya kinywa ila sasa kumface na kumuelezea moja kwa moja inakua vigumu. Mbaya zaidi pale anapokua ni...
Nina miaka 32
mkristo
Muajiriwa
Elimu Degree
Sio mrefu sio mfupi
Maji ya kunde.
Mwanamke anayehitajika;
Miaka chini ya 27
Awe mkristo
Elimu, diploma au degree
Mweupe
Mwili wa kawaida
Kama una...
Kwa majina ya humu jamvini ni wolfpack. Dini yangu ni mkristo na naishi Arusha mjini. Natafuta rafiki wa kike(mchumba) mwenye umri kwanzia 22 mpaka 26 mwenye vigezo hivi,
1. Awe mweusi au maji ya...
Habarini wanajamii,
Ningependa kujua ni taratibu gani hufuatwa kuanzia kwenye upenzi wa kawaida, kupropose ndoa, utambulisho kwa wazazi na jamaa, mahari (posa) na hatimae ndoa, kipi inabidi...
Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri?
Wakati wewe unafanya kazi, nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana?
Nawaombeni...
Wengi huwa wanalalamika kwasababu hawajui matumizi ya nazi. Nazi si ya mboga tu...ina matumizi mengi.
Wanasema mchagua Nazi hupata koroma...Lakini wanasahau koroma hilo linakazi nyingi; unaweza...
Hi ilitokea nilipoenda club 2weeks ago na rafiki yangu mmoja mana alikuwa na stress kibao. Wakati tunasubiria disco lianze si unajua sisi wazee wa club legends akanieleza amepata bwana lakini ni...
Sijajua kwa wengine lakini kupitia maisha yangu naweza sema na uhakiki na hili wakina baba pasipo jitambua au kutojua malezi bora wanajikuta wanatengeneza migogoro na watoto pindi pale tu...
Nina rafiki yangu mkubwa sana ameolewa kimila na wamejaliwa mtoto mmoja na maisha yanasonga kama kawaida. Tatizo lililofanya mpaka hadi rafiki yangu aombe ushauri na mimi kuja kulileta huku ili...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye...
Wengi siku hizi wana simu za kisasa yaani smart phones . Simu hizi zinasaidia sana, unaweza kufanya mambo mengi kwenye simu kama ufanyavyo kwenye computer. Pia
Smart phones hukusaidia pia kuingia...
Habari wakuu
Wiki ya pili sasa jirani yangu "mwanamke" single mother kapata safari ya gafla kwenda huko Dar es salaama.
Tumezoena sana kiasi kwamba hata kiss za hapa na pale huwa napatiwa pia...
Dada naona kapaniki, yuko desperate na ndoa maana anaona km (umri) zimetembea sana.
Mm nilitaka kuosha macho tu kwenye bonde lake la ufa kisha nipite zangu. Lkn naona yeye sasa ndiyo anadhani...
Habarini wakuu,
Kuna mdada mmoja yuko mitaani kwetu sio siri nilivutiwa nae nikapenda tuyajenge tuwe familia moja, cha ajabu nilishushiwa mvua ya matusi ajabu akidai nimshushia heshima na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.