Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Wengi siku hizi wana simu za kisasa yaani smart phones . Simu hizi zinasaidia sana, unaweza kufanya mambo mengi kwenye simu kama ufanyavyo kwenye computer. Pia
Smart phones hukusaidia pia kuingia kwenye social networks.
Unapokuwa na mtu kwenye chakula au kinywaji si ustaarabu kuchat na simu yako muda wote. Kama kuna ujumbe unaousubiri mueleze mtu uliyenae mapema na simu ikiingia omba samahani pokea na umueleweshe aliye kupiga simu muda wako mzuri wa maongezi.