Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,706
Reaction score
65,346
Dada naona kapaniki, yuko desperate na ndoa maana anaona km (umri) zimetembea sana.

Mm nilitaka kuosha macho tu kwenye bonde lake la ufa kisha nipite zangu. Lkn naona yeye sasa ndiyo anadhani Mungu kamjibu maombi yake ya kupata mume. Thubutu!! She is 34, nani anunue gazeti jioni?

Ili kumkwaza achukie tuachane, nimekuwa nikimpa masharti ya kunipa pesa ili ishu zangu zisikwame (,namdanganya tu lkn). Dada anahangaika kwenye biashara zake huko baada ya siku mbili tatu ananipatia fuba (hela).

Kiukweli anajituma, hivi juzi nimempa kazi ya kunitafutia milioni 3 dada kaomba nimpe muda, hata mm naingiwa woga. Natamani ajue ya kwamba simtaki, nampa hivyo vibomu kama njia ya kutaka kuachana.

Nifanyeje ili ajue nakula hela take tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom