Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Hi ilitokea nilipoenda club 2weeks ago na rafiki yangu mmoja mana alikuwa na stress kibao. Wakati tunasubiria disco lianze si unajua sisi wazee wa club legends akanieleza amepata bwana lakini ni babu mjane ana miaka 65. Hawana muda mrefu kenye mahusiano wana miezi 3 ila shostito Wangu keshachokaa
Shostito: Money Penny shemeji yako ana miaka 65, mstaafu, mjane, alinikuta pale Serena Hotel akaniganda nikamtegea sikio akanieleza haja ya moyo wake nikamkatalia akanisumbua usungura kibao kama kijana wa miaka 22 nikasema haya babu nakupa nafasi.
Dating za hapa na pale tukaingia kwenye mambo ya show time.
Show ya 1: Babu akaenda vizuri.
Show ya 2: Babu kachoka akalala kaniacha na haja.
Show ya 3: Babu kaanza vizuri kufika ndani imelala.
Show ya 4: Siku hio nina maupwiru balaa babu kapata presha nikampeleka hospitali.
Show ya 5: Babu kafunga goli 1 kachokaa wakati mimi bado nataka.
Show ya 6: Tumeenda vizuri kabisa kufika katikati kalala.
Eh money penny mimk nimemchoka huyu babu, ingawa mawe anayo na sio mbahili lakini show time bwana ndio kila kitu.
Nilijaribu kumkimbia akanikamata nipo na vijana wa mwituni (serengeti boys) akatoa bastola kijana akakimbia uchi wa mnyama na hoteli Meneja akapigwa biti sina hamu, penny nafanyaje?
Babu ananipa raha kifedha ila kimwili kama natembea na maiti.
Napenda pesa zake ila showtime 0 kabisa nifanyaje?
Eti wana JF, msaidieni shosti wangu afanyaje?