Habarini wakuu,
Kuna mdada mmoja yuko mitaani kwetu sio siri nilivutiwa nae nikapenda tuyajenge tuwe familia moja, cha ajabu nilishushiwa mvua ya matusi ajabu akidai nimshushia heshima na yeye ni mke wa mtu..
Hivi wakuu kumfungukia mdada ni kumkosea heshima?