Utunzaji Wa Chupi umenikera sana

Utunzaji Wa Chupi umenikera sana

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,269
Reaction score
1,148
Habari wakuu

Wiki ya pili sasa jirani yangu "mwanamke" single mother kapata safari ya gafla kwenda huko Dar es salaama.

Tumezoena sana kiasi kwamba hata kiss za hapa na pale huwa napatiwa pia touching huwa ananiruhusu haswa wakati anapokua room kwangu kuja kunijulia hali.

Baada ya kupata safari yake hiyo aliamua kunipa wadhfa wakulala chumbani kwake mpaka atakaporudi akihofia maswala ya usalama wamali zake
Mbaya zaidi ni pale nilipokutana na mpangilio mbaya wa CHUPI zake zingine kaninginiza kwenye kitanda yani ovyo ovyo tu,Mpaka nimejiskia vibaya wakuu.

Nampango nimtunzie kabatini kwake maana nimechoka kuziona.
 
Sasa unamlindia vipi kwako unamuacha nani au bado unakaa home kwa wazee?
Hapana chief nakaa geto ila geographical position ya geto IPO vizuri ndio maana sina shaka
 
Mkuu mimi sio MTU wakupekuapekua kwa watu chief ila kitanda ndio uwanja Wangu hivyo nimekutana na chupi maeneo hayo
Hahahaaa. Hujaona hata shuka au mto au hata godoro kitandani?
 
Yaani mtu ameweka chupi zake chumbani kwake unaanzisha uzi jf. Nonsense
 
Saiv mada za aina hii katika jukwaa la mahusiano tunaomba mods muweke utaratibu wa kuambatanisha na picha maana hizi chai zitatusababishia cancer,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom