Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea mana sipendi kuwa na msichana mwenye mambo ya utoto utoto.
2.Rangi yeyote iwe nyeusi au nyeupe ila sio weupe...
Habari za sa izi ndugu zangu,
Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.
Kiufupi mimi ni...
WanaJF,
Disclaimer: Naomba kwa mwenye kutoa ushauri asiegemee upande wowote*
Mimi ni moja kati ya vijana waliooa wakiwa na umri mdogo. Nilikuwa nina miaka 21 (now I'm 23) tu na ni kwasababu ya...
Naomba kuuliza hili swali wapendwa hivi baadhi ya wanaume huwa wanajua maana ya hili neno hususani kwenye kipengele cha sita sita?
Manake unakuta mtu anasema anahitaji only one night stand with...
Kwa jiji la Dar hali hii niyafaraja sana kwa watu wenye vyungu vya kukumbatia, lakini pia ni ngum kwa watu kama mimi ambao vyungu vyetu vimetokomea bila sababu za msingi. Muniombee niko katika...
Nimeichunguza sana na kugundua kuwa ni kweli 98% kwamba Wale Wasimamizi wa Maharusi yule wa Bwana na Bibi Harusi hupata urahisi sana kutembea ( kufanya Mapenzi ) na mmoja wapo wa Wanandoa...
MABINTI KATIKA DILEMMA YA NDOA.
Zama hizi hitajio la ndoa limekuwa ni kubwa zaidi, lakini jambo la kusikitisha ni kuwa ndoa zimekuwa ngumu sana. Na mabinti wamebaki njia panda (Dillema)...
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.
Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka...
Habari zenu wadau,
Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda...
Hilo swali ndio linatutatiza wengi, karibuni tu share ideas, njia zipi za kupata mpenzi bora? Girlfriend, boyfriend. Je unaweza ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama Fb or JF na...
Jopo la wanasayansi kutoka katika chuo kimoja nchini Marekani wametoa majibu ya kustaajabisha juu ya utafiti wao mdogo walioufanya hivi karibuni juu ya kujichua. Wanasayansi hao waliamua kufanya...
Ni takribani mwezi umepita tangu dada mmoja mwenye miaka 25 ahamie hapa pamoja na rafiki yake wanaishi wote mwenye miaka (34) wote ni wahitimu wa chuo fulani cha fedha hapa mjini katika ngazi ya...
Mpenzi wangu anapenda sana kuniomba sana pesa kila siku ata kama ni ndogo ndogo lakini inakera kila siku mala elfu 5000 mala 2000 sasa jana kaniomba nikavunja ukimya nikamwambia wewe kila siku...
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m...
love with anyone':
Set One
1. Given the choice of anyone in the world, whom would you want as a dinner guest?
2. Would you like to be famous? In what way?
3. Before making a telephone...
Each day that goes by, more and more men are becoming dependent of the internet.
They either approach women through one of the social media websites, or even worse, they settle for watching porn...
Huyu ni dada binamu tumekua kua naye miaka ya nyumanmpaka sasa imetokea tena tumeajiriwa ofisi moja. Actually alikuja kwa uwezo wake wala mimi sihusiki, namfahamu she is bright an pretty sasa kama...