Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukipata mtu wa kuoa au kuolewa naye unakuwa na raha sana . Pale ikiwa hujawahi kumfahamu tabia yake. Pale kuja kumfahamu ni mpaka uanze kumfuatilia. Kwanini asilimia za wanaume ndio wanafumwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu rafiki ni kati ya wale wachache niliokua nao mtaa mmoja. Hizi familia zetu za ki Africa, wazazi wake unawaonav kama wazazi wako na birthdays mlikunywa soda pamoja. Huyu bwana aliogopewa kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Naomba tujadili kwa kina kuhusu faida na hasara za mwanaume au mwanamke aliye kwenye ndoa kuchepuka.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za jumapili wapendwa....ni tumaini langu mpo salama salmini na wale wenye matatizo ya kiafya basi Mungu awafanyie wepesi.... Niende moja kwa moja kwenye mada bila ya kupoteza muda...
4 Reactions
2 Replies
5K Views
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dah inasikikitisha sana wapenz walioish zaid ya miaka 5 then wakatengana. Ni bora afe mmoja wao ila wote wapo hai Hebu toa maon yako na ww Ahsante
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwenye ile ishu ya condom nilipewa cku tatu na wife nikamilisaha masharti yake matatu, 1- niusalimishe mchepuko wangu alioupa kisago kwny kitchen party uje umuombe msamaha .... 2- anataka majibu...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
1Natalie Dylan aliuza usichana wake kwa , 3.7 million dollar ili asome degree yake ya uzamili au masters 2.Raffaela ficco , 2009. Big brother italy alikuwa mshiriki, 1.8 million dollars, 3. Gracie...
3 Reactions
81 Replies
9K Views
Mpo, Hatari sana, yani unavyopendwa na Mzungu unayasahau yafuatayo; 1. Kupigwa vibomu vya kila siku. 2. Kelele zinapungua sana, yani hakuna kubishana. 3. Alafu wasafi sana, kuanzia kinywa, mwili...
12 Reactions
136 Replies
16K Views
Ni muda sasa imesikika wanaume wakiwa wanalalama juu ya wanawake kuwapiga mizinga mizito hadi kushindwa kihimili lakini kuna tatizo pande zote kati ya wanawake na wanaume. Wanaume kumbukeni unapo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Uliolewa au kuoa ukiwa na miaka mingapi? Ilikuchukua muda gani kuoa ama kuolewa?
1 Reactions
321 Replies
24K Views
Habari za humu ndani, Baada ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani ambayo kwa upande wangu sijaona wanawake wenyewe wakishiriki kikamilifu. Sasa tuendelee na harakati za maisha kama kawa...
6 Reactions
107 Replies
7K Views
Good afternoon wa Tz. Naamini sote tumetoka na kupitia mbali katika safari yetu ya mapenzi na uhusiano, katika safari hiyo kuna changamoto nyingi sana visa na mikasa isiyo na sababu zingine zina...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1. Tamaa zao. Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako. 2. Hulka zao. Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla. 3. Kuachana...
48 Reactions
182 Replies
18K Views
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari...
8 Reactions
146 Replies
11K Views
Kila tunapogombana na mke wangu mara nyingi anakimbilia kwa watu wa nje hasa marafiki, ndugu na wazazi hiyo ni kama mimi nimeharibu big time lakini kama yeye ameharibu huwa nakomaa naye hata watu...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Hellow watu wa Jamii F, poleni na stress za maisha na weekend angalau inaanza vyema kujipanga tena upya. Kuna jambo nahitaji kuwashirikisha wana harakati wa jamii F. Leo ni siku ya Ijumaa tena...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums, natumai mu wazima wa afya, Kilio changu ni kwa hawa mabinti wa kilokole wa siku hizi wengi mimi kwa mtazamo wangu naona kama wanaigiza tu. Maana wengi wao wana mambo...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Kama ukivaa kiatu kinachokupwaya, kaa tayari kuboreka, kuwa 'disappointed' na kuwa 'frustrated' katika maisha yako, na kama ukivaa kiatu kinachokubana basi kuwa tayari kuugulia maumivu ya mguu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…