Kwa walioko Bengaluru India

Kwa walioko Bengaluru India

Mimi ni balozi wenu hapa India, New Delhi semeni niwasaidie nini vijana!?
 
Duh bengaruru kitambo sana mwaka jana nlikuwa shule nasoma network security huko
 
Upo maeneo gani mkuu. Mi nlikuwa naishi seshadripuram road abhiman hotel
 
Aisee sijawahi fika India lakini najua tu ni moja ya nchi zenye history kubwa na nzuri
 
Back
Top Bottom