Tunapishana ratiba ya kufanya mapenzi, nifanyeje?

Omuzirambogo

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
685
750
Wakazi wenzangu wa Dar mnajua hali ya hewa ya jiji ni joto sana. Lakini hata vyumba vya kupanga hasa vyoo na bafu za kushare.

Sasa mwenzangu anataka tufanye mapenzi usiku. Nashindwa kwasababu nikimaliza lazima niende kuoga siwezi kulala na mijasho. Ila muda huo kwa bafu za kushare ni tabu kwani bafu letu la nje, halina taa n.k.

Mimi napenda nifanye asubuhi nikimaliza nioge niende katika mihangahiko yangu. Mwenzangu hataki kwa kigezo kuwa anakuwa na usingizi hivyo hafurahii tendo. Sasa tunafanya kwa kuviziana tu jambo ambali linanikwaza kweli.

Naomba ushauri .
 
Kuna kiwanda cha Vigae kipo pale Mkuranga kinatafuta wanafanyakazi kwenye kada mbalimbali.
Kuna kiwanda cha vigae kipo pale chalinze kinatafuta wafanyakazi kwenye kada mbalimbali.
Kuna mradi wa reli ya umeme aka SGR inatafuta nguvu kazi..
Kuna Miradi wa Fly over Tazara na Ubungo inatafuta nguvu kazi.
Muda wa jioni baada ya kazi unaweza kwenda kujifunza English course au Lugha nyingie kuongeza maarifa.
Muda wa jioni baada ya kazi unaweza kutafuta kagari kakawa kauber au tax mjini hata kwa kukopa ili uongeze kipato.
Pia mnaweza kufungua genge na mkeo baada ya kazi mkawa mnafungua genge lenu mnaongeza kipato..
Mama pia anaweza kuwahi kuamka akapika maandazi au sambusa mkaongeza kipato..

Nimeandika hayo yoote ili kukusaidia maana inaonekana bado kipato chako kidogo halafu hujitambui na huijipi muda mwingi wa kufikiri namna ya kuongeza kipato ili uachane na hiyo adha ya kukaa nyumba ya kupanga choo mile 8 na uweze kukaa nyumba yenye hadhi self contained au ujenge yako na uenjoy maisha na familia yako na mwisho wa siku wanao wawe na afya njema na akili nzuri darasani ili wavuke vikwazo ulivyovipitia...
 
Wanaume mnazidi kupungua
Wanaume mnazidi kupungua
Sina shaka na usemacho, Wanaume tunapotea kwa kasi ya ajabu, leo hii tunakimbilia kugawana majukumu ya nyumbani na wanawake, eti mwezi huu zamu yangu mwezi ujao zamu yako, Mwanamme wa kweli hana zamu, siku na miezi yote yake labda itokee mwanamke mwenyewe achangie lakini sio kumlazimisha, pia tunashindwa kuwa timizia wake zetu haja zao za kimwili, kama mtoa thread.
 
Hivi kweli mwanaume uliyekamilika utasema hizo mambo eti ooh usiku nashindwa choo kipo nje naogopa giza we mwanaume unaogopaje giza halaf mijitu kama hiyo ikichapiwa wake zao huko inakuja kulialia jf
 
Hahahah imebidi nicheke tu, ila chakukushauri mkuu tafuta sana pesa, yaan tafuta sna pesa wa n Mke wako.
 
Sina shaka na usemacho, Wanaume tunapotea kwa kasi ya ajabu, leo hii tunakimbilia kugawana majukumu ya nyumbani na wanawake, eti mwezi huu zamu yangu mwezi ujao zamu yako, Mwanamme wa kweli hana zamu, siku na miezi yote yake labda itokee mwanamke mwenyewe achangie lakini sio kumlazimisha, pia tunashindwa kuwa timizia wake zetu haja zao za kimwili, kama mtoa thread.
Mwanaume wa kweli hana mwandiko kama huu wa kwako unaandika pumba tupu kuimpress mademu humu JF falaa wewe.
 
Back
Top Bottom