Mazingira niliyokutana naye yalikua ni ya kupita tu(si unajua ujana) ila nikajikuta nimevutiwa naye baada ya kujua ana uwezo mkubwa wa kufikiri na hana haja na mambo ya ujana tena. Nikaona huyu...
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo...
Habari zenu,
Umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote...
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo...
NAYASIKIA KWA WENZANGU LEO YAMENIKUTA!
Mida ya saa tisa leo nikaenda kwa mshikaji wangu Mmoja ana M-pesa aniwekee hela nimtumie Mwana mmoja alikuwa na shida.....aah sasa tumekaa pale tunapiga...
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya "Upendo" wa Wazazi na "Uono"(Sight).Ndio maana wazungu walisema "Out of Sight,Out of Mind".
Hata kama leo mzazi/wazazi watakutana na mtoto wao baada ya miaka 10...
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.
Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani...
Wanaume wa Dar... wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi
Bado hawajala...
"Nimewahi kuomba ushauri hapa JF kuusu wake zangu wawili kama mtakumbuka umri nilishataja nilipata ushauri mzuri wengine walizingua mana huwa hawakosekani katika jamii ni kawaida sana kuwapo watu...
Habari wanajamvi,
Leo rafiki yangu yamemfika ana watoto wake wawili mmoja ana umri wa miaka 4 wingine ana umri wa mwaka na nusu hivi.
Huwa analala nao chumbani kwake yule mkubwa analala kwenye...
Hakuna sababu au maelezo yoyote yatakayohalalisha tabia ya kumpiga mwanamke zaidi ya udhaifu, ushamba na unyama wa mwanaume mwenye tabia ya kumpiga mwanamke.
Mwanamke na mwanaume wanakutana...
Nafikiri hili hata kuna wengine limeshawahi kuwatokea!
Kuna wamama wawili na mdada mmoja (ambaye ni binti wa mama mmoja kati ya hao) naishi nao jirani, sasa hapo nilipopanga mtoto wa hio nyumba...
Aghalabu tumezoea kusikia uchawi ukitumika kwa waganga wa kienyeji, wanga, na wachawi wenyewe kuloga watu bila sababu yeyote ya msingi, uchawi upo wa aina nyingi hapa ulimwenguni lakini kila mtu...
Niaje
Queen Darline aliulizwa unafanyaga mapenzi mara ngap kwa siku au week
Akajibu: Nikikosa kufanya mapenzi nachanganyikiwa
Je na wewe mwana JF ukikosa kufanya mapenzi unachanganyikiwaga? !
KANUNI 30 KWA WANAWAKE
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia...
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inasemekana kazi ya wanawake wanaozaa kwa upasuaji yazidi kuongezeka huku ikidaiwa kuwa wapo wanaofanya upasuaji huo bila sababu za msingi tofauti na wale wenye...
Juzi nilipata kibarua cha kukata majani huko Goba. Nilipewa pande hili na jamaa yangu mmoja hivi. Kwahio nilikuwa naenda kwenye kibarua huku boss simjui. Kufika eneo la kazi mjengo nilioukuta si...
Habari zenu ndugu na marafiki nakiri kwa sasa nipo katika wakati mgumu baada ya kuwa kwenye penzi zito na mrembo nimelazimika kutumia ID nyingine ili asinigundue muweze kunishauri ndugu zangu...
Wana MMU,
Jana nilikutana na rafiki yangu baada ya kupotezana muda mrefu.Aliniambia kuhusu bachelor party zinavyofanyika siku hizi. Ukweli macho yalinitoka. Labda mimi bado nipo nyuma ya...