Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,437
Wanaume walitokea sayari ya Mars na sisi tulitoka Venus. Wote tumejikuta hapa duniani tena tumeambiwa hapa tutaishi kwa muda lakini inabidi wote tuishi kwa amani.
Wanaume wana Ego, hiki ni kitu kinamfanya mwanaume kufanya maamuzi anayofanya. Wewe wa Venus ukishajua jua Ego ya mume wako na jinsi ya kuikabili, mtaishi kwa raha sana.
Mara nyingi mwanaume anaweza kusamehe makosa kama hayajafikia kuivunja ile Ego. Kuweka siri ni moja wapo kubwa. Mfano tu mume apitie kipindi kigumu cha maisha na pesa ya kuendesha familia inatoka kwanye biashara ya Venus ya maandazi na vitumbua lakini unampa yeye apange budget. Hapo Mars arakuchukia kwa lipi?
Sasa Venus wewe kwakua umelipa kodi ya nyumba mwezi huu kule kwetu Kwamtogole basi Mars akichelewa kurudi umseme wewe mpaka majirani wasikie, shost akipata kwenye faraja utamsubiri wiki nzima.
Jumapili njema.