Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu kaka, dada na wadogo zangu? Najiokeza kwenu leo nikiwa serious na hitaji langu likiwa serious pia. Natafuta/nahitaji mwanamke/msichana ambaye hajawahi fika au kufikishwa...
1 Reactions
48 Replies
14K Views
Heri ya pasaka wapendwa Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh...
15 Reactions
200 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza...
3 Reactions
464 Replies
36K Views
Many ladies always ask, "how can I know a guy loves me? " Many ladies have lost good guys because they cannot identify good guys. Although guys can pretend, but you can identify a fake guy and...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Habarini Wakuu. Dhahabu ni moja ya madini yenye thamani kubwa sana. Kutokana na uthamani wake basi si rahisi kupatikana kirahisi rahisi. Na mara nyingi kama si zote hujificha na hukaa sehemu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Alikuwa anafanya kazi serikalini, akakumbwa Na ishu ya vyeti feki akaondolewa kazini. Alikuwa amebahatika kujenga nyumba Boko, Ila ndio hivyo tena mke kamkimbia Na kwenda kuanza maisha yake baada...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa. Andiko hili nalileta kwenu ili kuwapa mrejesho wa kile nilichokiandika hapo juu. Ni kama miezi miwili na kidogo nilileta tangazo la kutafuta mchumba hapa ktk jukwaa hili...
12 Reactions
137 Replies
11K Views
Inashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia...
10 Reactions
173 Replies
16K Views
Huwa napata shida sana kwani kuna muda Mtu unaweza ukawa unajijua kabisa kwamba umebarikiwa na ' Bamia ' tu lakini cha ajabu sasa hiyo ' Bamia ' ikienda inakoenda Yule mpokeaji baadae utasikia...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi kwani kuna sehemu imeandikwa mwanamke haruhusiwi kumtongoza mwanaume?sasa mbona sisi wanaume msichana akitutongoza tunasema anajirahisisha mbona sisi tukiwatongoza wao hawasemi sisi...
5 Reactions
135 Replies
12K Views
Ujumbe wangu kwa Wazazi, juu ya watoto na familia zenu. Ktk maisha kuna mambo makuu matatu hasa hasa mzazi wa kiume (Baba) anapaswa kuyafahamu: 1. Awe baba anaefikika (accesible) 2...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Mbunge mmoja nchini Kenya ameibua hoja kuwataka wanaume kuoa wanawake wengi, ili kuweza kusaidia malezi ya familia na kupunguza watoto wa mitaani. Mbunge huyo anayejulikana kwa jina la Gathoni wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika pita pita zangu nilikutana na na hii video mahali kwa kweli nilishindwa kujiuliza na kujibu maswali ndani ya dakika kama kumi ina wezekanaje mtu akawa rafiki na mnyama tena mnyama ambaye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu binti aliwahi kunisingizia mimba miaka kadhaa iliyopita na baada ya kugundua si yangu nikampiga chini. Aliniletea aibu kwa familia lakini nashukuru yalishapita. Baada ya muda wa miaka kadhaa...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Nimeichukua hii sehemu sehemu na kuiweka hapa. Someni kwa furaha. FURAH YA NDOA *LEO NAWASHAURI WANAUME* *EWE MWANAUME.......* 1). Mwanamke si ruler iliyonyooka kwamba hakosei, bali...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira. Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake hua mna classses, yani akili ya mwanamke ina classes, akishakua na level flani hivi ya maisha basi hujiweka kwenye hiyo level. Inapokuja swala la mwanamke, mwanaume hana class, awe beki...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Baada ya kumwambia nina mpango Wa kusafiri tena nje ya nchi ataki amenuna na nikimpigia cm ananijibu kwa hasira mara ooo nimeshatorewa barua visa kibao
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…