Ujasiri wa huyu dada na simba

sky walker

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,160
824
Katika pita pita zangu nilikutana na na hii video mahali kwa kweli nilishindwa kujiuliza na kujibu maswali ndani ya dakika kama kumi ina wezekanaje mtu akawa rafiki na mnyama tena mnyama ambaye anauwezo wakubadilika ndani ya sekunde. mfano hapo imeonyesha mnyama simba.

nimeona wanyama wengi tu kama chui nyoka najiuliza ni huwa wanatumia dawa au ni nini?

mapovu ruksa
 
Back
Top Bottom