Lost ID ;- Wanawake wana madaraja mapenzini, wanaume hawana madaraja

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,444
2,000
Wanawake hua mna classses, yani akili ya mwanamke ina classes, akishakua na level flani hivi ya maisha basi hujiweka kwenye hiyo level.
Inapokuja swala la mwanamke, mwanaume hana class, awe beki tatu, awe waziri au rais wote ni wanawake, kinachowafanya kua hvyo sio vyeo vyenu bali ni kyuma.
Mwanaume hana class kwenye kyuma, kyuma zote ziko sawa. Ndio maana anaweza kua na mwanamke mzuri na mwenye hadhi kubwa ila akatafuna beki tatu ambae hana mbele wala nyuma.
Mshedede ukiamka hua hauangalii hii kyuma ni ya nani, iwe ya beki tatu au yoyote kikubwa iwe kyuma tu.
Nachojua beki tatu wengi bado wanakua wabichi, bado wana ladha fresh, bado misuli yao ya uke iko tight na mnato.
Sababu kubwa nyingone ni mahubiri ya Nabii wa Mwisho na Nabii wa kweli Nabii Tito.
Article by lost id
 
dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,169
2,000
Ukiona unatoka nje ya ndoa kisa UKE taiti na mnato basi ukiingia tu kwenye ndoa usimzalishe mkeo ili dyudyu iendelee kubana!

Pasaka njema Mkuu....
Kumbe wakisha zaaa hamna kityu tena
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,565
2,000
That is a fact bro.

Wanawake wana madaraja kwenye mahusiano. Mwanamke akishakua na hadhi flani kwenye maisha hutaka kua na watu wenye hadhi yake tu.

Sio rahisi kukuta mwanamke mwenye mafanikio anadate mtu choka mbaya au basi mwenye status ya chini yake. Mwanamke akishakua na mafanikio hudharau wote walio chini yake.

Na wanaume tunalijua hilo, ndio maana huwezi kukuta mwaname mwenye hadhi ya chini anahangaika kutongoza mwanamke mwenye hadhi ya juu maana anajua huyo mwanamke atamdharau.

Wanaume hilo hatuna, haujalishi hadhi tuliyonayo, tunadate mwanamke yoyote anaetuvutia kama mwanamke na sio anaetuvutia kwa hadhi yake.

Ndio maana wanawake hawatuelewi, unakuta anashangaa mwanaume mwenye hadhi yake anatafuna Deputy wife(beki tatu) au mwanamke mwingine yoyote wa mtaani.

Unakuta wanawake wanajiuliza huyu kakosa nini hadi akatembee na yule mwanamke mwenyewe hana hili wala lile, wanashindwa kuelewa sisi hatutofautishi wanawake kwa hadhi yao, tunawatofautisha kwa uanamke wao na kinachowafanya kua wanawake ni kyuma na sio hadhi yao.
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,200
2,000
Akiwa mjamzito unafanyiwa upasuaji asitoe mtoto kwa njia ya kawaida ndio unavyo maanisha sio
Ukiona unatoka nje ya ndoa kisa UKE taiti na mnato basi ukiingia tu kwenye ndoa usimzalishe mkeo ili dyudyu iendelee kubana!

Pasaka njema Mkuu....[/QUOT
 
Mlima simba

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,281
2,000
Mkuu umenena ukweli mtupu, wanawake ni wabaguzi wakubwa sana yani na story zao utasikia yule atanipa nini mimi?? Mtu mwenyewe muuza vocha ya faida ya shilingi ishirini kwa vocha ataweza ninunulia wigi la laki? Halafu wote wanacheka.

Kwa sisi wanaume tupo tofauti kabisa hatuna madaraja wala hatubagui, sie muuza mihogo barabarani sawa, housegilr sawa, yani hatuchagui kama wao big up kwa wanaume wote .
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
class yanini ""!? sisi huwa tunakula tu"" kama Jana nilimnyatia beki 3 mpka room kwake nikawa nimeishia mlangoni najishauri"" nimgongee nipige mechi au laaaa...nikawa naogopa kuwa wife akishtuka usingizini itakuwa msala""" hahaa
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,814
2,000
Ni kweli kabisa!

Maana kuna vinyago nishavitafuna halafu baadaye nikawa najishangaa mwenyewe imekuwa kuwaje hadi nikafikia hatua hiyo!

Teh teh.....I’m just sayin’......
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,164
2,000
Wanawake hua mna classses, yani akili ya mwanamke ina classes, akishakua na level flani hivi ya maisha basi hujiweka kwenye hiyo level.
Inapokuja swala la mwanamke, mwanaume hana class, awe beki tatu, awe waziri au rais wote ni wanawake, kinachowafanya kua hvyo sio vyeo vyenu bali ni kyuma.
Mwanaume hana class kwenye kyuma, kyuma zote ziko sawa. Ndio maana anaweza kua na mwanamke mzuri na mwenye hadhi kubwa ila akatafuna beki tatu ambae hana mbele wala nyuma.
Mshedede ukiamka hua hauangalii hii kyuma ni ya nani, iwe ya beki tatu au yoyote kikubwa iwe kyuma tu.
Nachojua beki tatu wengi bado wanakua wabichi, bado wana ladha fresh, bado misuli yao ya uke iko tight na mnato.
Sababu kubwa nyingone ni mahubiri ya Nabii wa Mwisho na Nabii wa kweli Nabii Tito.
Article by lost id

Kidogo naweza kukubaliana nawe katika hili la wanaume kutoangalia level ya mwanamke wa kuafanya naye tendo la ndoa. Ila katika suala la mabeki 3 si kweli kama wengi wao wako wabichi. Wengi wa mabeki 3 wako used already na wengi wanajuwa iko siku baba mwenye nyumba ataniomba mchezo na wako tayari kuwapiku wake halali wa nyumbani ikiwa mke wa ndoa atajishebedua na kujisahau which they always do na ndiyo maana wanaume wengi wanachepuka na mabeki 3.
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,565
2,000
Ni kweli kabisa!

Maana kuna vinyago nishavitafuna halafu baadaye nikawa najishangaa mwenyewe imekuwa kuwaje hadi nikafikia hatua hiyo!

Teh teh.....I’m just sayin’......
Hhahaahaaaa.
Mi mwenyewe kuna kimoja nilikitafuna hua najiuliza hivi nilikitafunaje kile.

Sema hua najiuliza ila nikikikumbuka mambo yake bed nakitafta tena nakitafuna. Kitam sana alafu kinafinyia kwa ndani. Hatari sana.
 
Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
2,358
2,000
Ukiona unatoka nje ya ndoa kisa UKE taiti na mnato basi ukiingia tu kwenye ndoa usimzalishe mkeo ili dyudyu iendelee kubana!

Pasaka njema Mkuu....
Hata akizaa baada ya wiki chache uke hurejea kwenye Hali yake ya kawaida
 
Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
2,358
2,000
Hhahaahaaaa.
Mi mwenyewe kuna kimoja nilikitafuna hua najiuliza hivi nilikitafunaje kile.

Sema hua najiuliza ila nikikikumbuka mambo yake bed nakitafta tena nakitafuna. Kitam sana alafu kinafinyia kwa ndani. Hatari sana.
Mungu alifunga hivyo makusudi ili hata wenye sura Na mambo mabaya waweza kula statehe ya dudu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom