Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,644
- 6,028
Huyu binti aliwahi kunisingizia mimba miaka kadhaa iliyopita na baada ya kugundua si yangu nikampiga chini. Aliniletea aibu kwa familia lakini nashukuru yalishapita.
Baada ya muda wa miaka kadhaa tukarudiana kimya kimya (ili kuficha aibu, na kwa sababu nilishahama home hakuna aliyejua) nikawa nakula mzigo. Ukweli ni mwanamke mzuri sana anamvutia mwanaume yoyote yule rijaal.
Huyo mwanawe mpaka sasa anatumia jina langu, japo baba yake alishajulikana na amegoma kabisa kumbadili jina hilo na wana mvutano na huyo mzazi mwenzie mwanaume akidai mtoto atumie jina lake. Yeye kagoma kabisa, anasema mwanawe ataitwa hivyo hivyo na inasemekana jamaa alimbaka mwanamke (sitaki nielezee hilo, na ndivyo alivyojiapiza kwangu) na ndio maana alinisingizia mimi.
Huyu mwanamke ukweli ni kwamba ananipenda sana, lakini bwana ana kiburi na jeuri hatari, japo sio kwangu mimi. Nasema ananipenda na kuniamini kama mwanaume jiwe sababu kuna mtu aliwahi kumtishia kifo, basi akawa analia tu siku nzima huku akinihusia akifa nimlelee mwanae na alikua anarudia mara nyingi kauli hiyo. Cha ajabu mtoto yuko kwa shangazi yake ( dada wa baba yake)anasema akifa nikamchukue nimlee. Patamu hapo.
Okay, turudi kwenye mada. Huyu mtoto "wetu" ana miaka 5 sasa hivi na ameanza shule. Nimemwambia mwezangu na mimi nataka mtoto. Na sio mara moja narudia kauli hii. Majibu ya mwezangu yamekuwa hataki tena kuzaa mtoto nje ya ndoa. Nikimuuliza huyu wa sasa uliolewa...anadai jamii itamuona mwanamke wa hovyo. Lakini si "ulibakwa" mama? Wewe ndo unayeijua siri hii ya mimi kubakwa....wengine wote wanajua nilifanya makusudi. Eti anataka nimuowe....sasa mi nishamwambia sioi mpaka nimtie mimba.
Sasa nimemkazia kuwa mi hilo sijali na nataka mtoto kwa usumbufu alionipa wa aibu ile ya kunisingizia mimba na nikailea asee nastahili mtoto pia tena bila masharti yoyote. Ukweli ni kwamba akishika tu mimba namuoa bila kuchelewa.
Juzikati tulikorofishana (sababu zingine kabisa) bila aibu akaenda kwa bi mkubwa kunishtakia na kuoma msamaha kwa yaliyotokea huko nyuma ( ya kunibambikia mtoto). Mama alishangaa sana kwanini nimemrudia. Siku nimekwenda kwa mama, mama akaniambia "yule hata kama utamuoa, ni jeuri sana yule". Sikumjibu kitu mama.
Sasa kwa hali hiyo ya kuniwekea masharti mi namuacha. Au nyie mnashauri nini wakuu?