Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
356
377
Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama mpenzi.

Tukawa tunatoka outing, tunakula na kila tukitembea wanaume wanamtolea macho huyu bidada..

Nikaona yeeees na mimi nina mtu hatari, basi nikawa navimba mwenyewe nikiwa nae maeneo full mahaba.

Za mwizi arobaini siku ya siku ikafika bidada nikamwambia nnavyojisikia kuwa nae na mambo yote kama wapenzi.Akaja geto tukafurahi mastori ma romance nk..

Sasa imefika wakati wa kwenda kula tunda.Nataka kumvua skin jeans ananizuia anataka kuvua mwenyewe. Namwambia plz baby relax let me do it for u.. kakataaa katakata nikaona sio shida.Akaingia bafuni akavua akaja na nguo kashikilia mkononi kwa aibu akaziweka kwenye sofa.

Mhhhhh nikashangaa mbona kakonda ile shepu yote hamna!? Mbona usoni ndio yeye lakini huku chini sio!? Hana hips wala makalio. Ikabidi niangalie vizuri pale alipoweka nguo zake nikaona zimetuna tuna as if kuna nguo nyingi
Dah! mood yote ikaisha..halafu kwa makusudi ananiuliza baby vipi mbona kimya!? "" mwenzio navaa mchina(kigodoro). Nikamuuliza kwa hiyo ndio mana hukutaka nikuvue! Akacheka saana.. dah ikabid nile tu mzigo ntafanyaje.

Kiukweli ni fundi sana ila nashangaa tu kwanini anavaa vile!??
Nataka kumwambia aache kuvaa vigodoro sasa sijui atanielewa au utakuwa ugomvi.

Na sasa hivi anajiachia tukiwa faragha namvua mwenyewe nachukua kigodoro cha mchina nakiangalia yeye huku mbavu hana kwa vicheko.She is very funny to be with.

Dunia ina mambo kiranga chote kimeniisha cha kutaka mishepu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1522941739700.jpeg
    FB_IMG_1522941739700.jpeg
    93.7 KB · Views: 134
Back
Top Bottom