Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wale waliofanya utafiti ya kwamba macho yanaongea wapo sahihi asilimia mia moja,kwa Mara ya kwanza kabisa nilishawahi kumwangalia mwanamke bila kupepesa macho(unamwangalia kimahaba zaidi,sio kama umebanwa na mlango)nilimwangalia kwa Mara tatu mfululizo kwa siku tofauti tofauti mwisho was siku alikuja kufunguka mwenyewe kuwa amenipenda!,kisa cha pili niliwahi Ku over stay siku 5 nchi Fulani sasa wakati narudi nikampatia passport yangu migration was kike kwakujua kuwa atanielewa lakini alikuwa mkali kupita kiasi akaniita ofisini kwake tofauti na pale,nia yake anigongee muhuri mwekundu sisiingie tena nchi ile basi kufika kule ofisini mtu mbili nikawa namwangalia bila kupepesa macho kidizaini flani akajikuta na yeye tu ujasiri wote umemuisha akaishia tu kutabasana na kuniambia karibu tena nchini kwetu ila usirudie tena!Macho yanaongea!
N.B ukiwa handsame alafu unajua kuyatumia macho hautapata tabu kwa hawa viumbe,hata mm nilikuwa Handsame ila mchakamchaka wa maisha kaundisamu kanazidi kufifia!teheheee 😛
N.B ukiwa handsame alafu unajua kuyatumia macho hautapata tabu kwa hawa viumbe,hata mm nilikuwa Handsame ila mchakamchaka wa maisha kaundisamu kanazidi kufifia!teheheee 😛