gerit
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 307
- 181
Wakuu pole na majukumu,
Kuna best yangu amenipa story nimeona nishee na ninyi.
Ni kuwa huyo jamaa yangu alikuwa na msichana na akamuahidi kumpa kiasi kidogo cha fedha aenjoy weekend lakini bahati mbaya hajapa hadi sasa. Upande wa binti hatari ilioje anambana jamaa kumpa hiyo hela kama vile jamaa alikopa.
Best yangu hapati raha jinsi anavyodaiwa. Utadhani konda unataka nauli.
Baadhi ya wanawake kwenye tabia hii please mtuonee huruma.
Saa zingine mtu anakua anakufariji tu hana hela, jiongezeni nanyi mjitegemee hata kidogo au mnasemaje viongozi?