Ndoa ya mkataba ni nzuri sana

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!
Kutoka na hali Ya maisha Ya ndoa Ya nyakati hizi,kuna umuhimu sana ikapelekwa bungeni mswada wa kupitisha ndoa Ya mkataba kwa sababau zifuatazo :

Kwanza katika research niliofanya, nimegundua katika kaya nyingi sana wanaotangulia kufa mepema ni wanaume kwa asilimia 97% .

Na miongoni mwa sababu inayosababishia wanaume watangulie kufa ni pressure,strock ,magonjwa Ya moyo na kuparalize gofla kutokana na mshtuko,stress na msongo wa mawazo unaosababishwa na wake zao.

Na kutoka na nature Ya ndoa tunazofunga makanisani inakuwa vigumu kwa mwanaume kuvunja ndoa endapo emekutana na mazingira kama haya, hivyo kungekuwa na ndoa ya mkataba ingemsadia mwanaume au mwanamke kuvunja au kuachana na hyo ndoa kama tayari ameona inamletea stress,inamnyima amani na kumletea msongo wa mawazo.

Faida nyingine Ya ndoa Ya mkataba, inaleta heshima kwenye ndoa, yaani mwanamke hatakuwa msumari wa moto ndani ya nyumba kwasababu anajua fika akizingua mkataba ukiisha na ndoa imekwisha.

Chonde chonde kwa wenye nafasi bungeni wapeleke huu msawada bungeni ili tuweze patiwa ndoa Ya mikataba.
 
Nakuona kama ulifungiwa geti na beibe wako aliyetokomea kusikojulikana

Maumivu yakizidi pata ushauri was PAUL MAKONDA.
 
Sijakuelewa..facts Ya research yangu ndio iliyonisabisha nikaleta hoja mezani na sio maswala Ya sijui beib.. What do you meaning brother?
 
Sijakuelewa..fact Ya research yangu ndio iliyonisabisha nikaleta hoja mezani na sio maswala Ya sijui beib.. What do you meaning brother?
Research yako ipo ktk maumivu ya ndoa yako, ndio maana umekuja na wazo mbadala la ndos za mikataba.

Kwa hili haiwezekani kuingiza bungeni, onana na RC wako mmalizane huko.
 
Uzuri ni kwamba ndoa za mikataba hazitambuliki kwenye sheria ya ndoa ya Tanzania
 
Research yako ipo ktk maumivu ya ndoa yako, ndio maana umekuja na wazo mbadala la ndos za mikataba.

Kwa hili haiwezekani kuingiza bungeni, onana na RC wako mmalizane huko.
Wewe una evidence gani Ya kwamba hii hoja imetokana na maumivu ninayepata kwenye ndoa, no research no right to speak.. Mimi Bdo sijaoa infact.. But nimeona hili tatizo ni kubwa sana katika jamii then ikabidi niifanyie utafiti..
 
Kama hujapa mambo ya wana ndoa hayakuhusu acha kuwasemea wanaume wenye wake wkt wewe ni single man.

Kaa kimya.
 
"Ndio ya Kikristu haivunjiki" huu ni ugonjwa tu wa akili uliopandikizwa vichwani mwetu, mimi tukishindwana tumeshindwana, tulichochuma pamoja tutagawana haki bini haki kuanzia mimi baba, mama na watoto wote, kila mmoja apate haki yake, nakusanya vya watoto wangu nachanganya na vyangu runaanza maisha mapya mimi na wanangu, hakuna mtu wakunilazimisha kuishi na mtu nisiempenda, sio Padri, Mchungaji, wasimamizi, wazazi, wakwe wala polisi. Tuache ujinga, eti unakufa kwa presha kisa ndoa ya kanisani!!
 
Lakini Ya mkataba ingekuwa fresh sana.
 
Back
Top Bottom