Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni na majukumu wakuu, Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwanamke wangu kipenzi amenasa ujauzito na huu unaenda mwezi wake wa pili. Kuna vitu baadhi nilitaka kueleweshwa kutoka kwenu maana...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za sahizi Mimi ni binti nina miaka 22 sasa Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Mimi ni Polisi: Hadi Lindi? 2001 Ndio kwanza nilikuwa nimetoka depo na kupangiwa mkoani Lindi. Maisha kwa kweli yalikuwa magumu. Mkoa ule umekaa kushoto sana. Kitu pekee nilichoona nafuu ni...
11 Reactions
103 Replies
13K Views
Furaha ya mzazi ni kuona watoto wake wamekua wakiwa na afya njema na wameondoka nyumbani wakiwa na vyanzo halali vya mapato. Tunapokuja kwenye graduations zenu msituone tunapiga vigele gele...
22 Reactions
49 Replies
4K Views
Hello guys Nimepata chance ya kukaa na watu wa class tofauti tofauti, nime-observe kuwa watu wengi ambao ni matajiri ni wabinafsi pengine kuliko hata watu ambao ni maskini Matajiri wengi...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Nitazungumzia kidogo kuhusu maisha ya mapenzi pindi mtu unapokuwa Ughaibuni, kwanza kitu cha kwanza unakumbana na upweke wa hali ya juu lakini unaendelea kujifariji kwa kuchati na kidemu fulani...
9 Reactions
78 Replies
11K Views
Salaam zikufikie dada Sijui lini utanielewa, kifupi nimeshakufa nikaoza . Najua unaujua ukweli huu ila hujakubali kuuruhusu moyo wako ukubali ombi langu. Jenifa mtoto flani hivi, mwenye uso...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
There is an increasing alertness over the debate about the fluidity of sexuality and sexual orientation all over the world.Why the number of people arguing over sexual identity and fluidity is...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu dada tumekutana nikampenda kwa dhati na nina malengo mazuri na yeye. Nashukuru alinipa ushirikiano hadi sasa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Mm kama MTU ambae nimepitia mabinti wengi huko...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari ndugu, Baada ya salaam, nakwenda moja kwa moja kwenye swali, hivi maana halisi ya pete ya ndoa hasa kwa wakristu ni nini? Swali la pili kwanini wanawake ndio wanaongoza kuonyesha pete zao...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Siku za hivi karibuni mke wangu amekuwa akionyesha tabia za kutojali,mfano,unaweza ukawa kazini ukamtext," hi baby" akajibu "P" Ukiendelea anapiga kimya hajibu sms,. Kwa kuwa muda wake wa...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna wanawake wengine nahisi akili zao zipo kwa papuchi sio kichwani kwa kweli. Juzi kati nilimuona binti mmoja mkali kisawasawa nikammezea mate. Bahati nzuri kuna rafiki yake ni msichana wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hili ni Ombi kwa yeyote anaeweza kufadhiri Video ya Nyimbo hii mpya. Nyimbo siyo ya mapenzi ni Motivation Song,inafaa kusikilizwa kwa lika lote,siyo ya kupoa ni Nyimbo flani hivi inayoelezea...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Niko Hapa Mbele yenu Nahitaji Kujua Chakula cha Samaki wa Kufugwa Kinauzwaje, Na kinaweza Kuwalisha Samaki hao kwa Muda Gani hadi kiishe?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Closed
Kuna utafiti nilikuwa nafanya baada ya kufwatilia baada ya kuona topic nyingi zinazowasema single mother's na wanawake waliofika miaka 30s bila kuolewa. Nilichokigundua; 1. Wanawake...
16 Reactions
154 Replies
19K Views
Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada na pia niwaombe msaada wa rai na mawazo yenu. Kuna binti ni mzungumzaji wangu, sasa usiku huu wa leo alinipigia simu akaniambia jambo lililofanya niamue...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanawake wengine kua single parent hua wanataka wenyewe huyu binti toka nimefahamiana nae hata miezi 2 haijaisha, nimetoka nae mara moja tu ghafla juzi ananiambia ana mimba ya wiki 2, nikashindwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…