Kama sijakusoma kivipi ebu funguka vizuri nitakujaImagine walivyo walaini wangekuwa na nguvu ingekuwaje asilimia mia ya wanaume duniani wanavutiwa na mapaja na udhaifu wa wanawake anayebisha aje aseme
Dhaifu ni chenye kasoro...gonjwa flani au lemavuudhaifu Na ulaini ni vitu viwili tofauti
Jomoni nanah i love you!(kwa sauti ya mwanaume wa Dar!)mmh bas na wew unafurah ee
Mkuu Ronda Rousey akiwa kwa mumewe anakuwa dhaifu, ubabe ni wanawake wenzie kama Alexa na Asuka kwenye WWESasa ronda rousey ana udhaifu gani?!![emoji53][emoji53][emoji53]
Dada huo mguu wa bia unanimaliza kabisaPicha uko wap?