Kweli programmers wa TZ mmeshidwa kutengeneza app kama "TINDER"

Kweli programmers wa TZ mmeshidwa kutengeneza app kama "TINDER"

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Hello bosses!
Hawa watu wa computer science na IT sijui wana shida gana yani hata kututengenezia app ya kutafuta "mpenzi" kama tinder mwanamsubiri Mark zuckerberg huko marekani aongeze kipengele cha kutafuta mpenzi huko FB japo system ya kawaida kuweka Algorithm ya kumechisa watu wanaoendania Geopositioning ya kuonyesha umbali mliopo notifications za kuku stua pale ambapo umepata PM au umepata mtu mnaomach Chat feature sehemu ya sms watu wayamalize wenyewe button ya ku Like/Dislike profile ya mtu na bio yake umri
fanyeni vitu kama hivi tuleteeni app acheni mambo ya kuhack module na website za chuo watu wanashidwa ku submit assgmnt icon nzuri jina zuri hata doman ya "mpenzi" ipo free
TULETEENI APP
 
Kiongozi wetu mweyewe hii mitandao inamkosesha usingizi!! tena akikusikiaaa unaongelea mambo hayo nakwambia utajiteka!.
 
Hivi Badoo ni ya watasha pia?
Founder wa Badoo ni Russian. Kwa hapa bongo elimu yetu hii magumashi tu, hatuna creativity siyo kwenye programming tu, hata field nyingine.
 
Founder wa Badoo ni Russian. Kwa hapa bongo elimu yetu hii magumashi tu, hatuna creativity siyo kwenye programming tu, hata field nyingine.
Hii elimu yetu ni kama haina manufaa kabisa..unakuta chuo kinawatu wanasoma IT,lakini hata kutengeneza system ya kukuweka matokeo online inawashinda
 
Hii elimu yetu ni kama haina manufaa kabisa..unakuta chuo kinawatu wanasoma IT,lakini hata kutengeneza system ya kukuweka matokeo online inawashinda
Acha kabisa mkuu, sasa unakuta mtu yupo mwaka wa mwisho wa bachelor degree, wanaambiwa kila mtu atengeneze system fulani unique lakini wapo wanaofanya independently na wengine kama kawaida wanacopy somewhere. Sasa mtu kama huyo anaanzaje kutengeneza App ya kueleweka.
 
Siku hizi watu hamtaki shida kabisa,mnataka mmalize kila kitu online,mkikutana ni kugegedana tu!
 
Siku hizi watu hamtaki shida kabisa,mnataka mmalize kila kitu online,mkikutana ni kugegedana tu!
mhhhh!! Haya mambo ya Kula mkono sio mazuri bora waturahicshie maisha
 
Hii elimu yetu ni kama haina manufaa kabisa..unakuta chuo kinawatu wanasoma IT,lakini hata kutengeneza system ya kukuweka matokeo online inawashinda
ndo hiyo mzee bb mtu ukiwa na project bora utafute programmer india, programmer wa bongo sijui ni programmer vitini website wengi wanatengeneza ambazo hazina quality kuna siku nilikutana na ewallet imetengenezwa na wabongo mbaya kinoma Bora india kuliko hapa bongo
 
Back
Top Bottom