kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
kwanini wanawake wanapenda sana kujirahususha kwa wanaume? hivi hamuoni aibu? mwanamke anajirahisisha anafanya visa vya kila aina bila aibu kidume unajifanya kama huoni lakini binti hana habari. hivi hamuoni aibu? wanawake hamkuumbwa hivyo mmeumbwa kufatwa. so acheni kujirahisisha mnaonekana changudoa malaya tu. we mwanamke unajichekeshachekesha ukiona wanaume ili iweje? mkichezewa mkiachwa mnalalamika. sasa mnalalamika nini si mnajipendekeza wenyewe. mwanamke anatakiwa awe na aibu asiwe nungayembe kujirahisiha kama malaya changudoa.