Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii tabia duh kwangu mie imenitokea sana, msinicheke lkn ni kweli kabisa... Vipi ninyi imewakuteni enyi wanaume wenzangu?
2 Reactions
89 Replies
8K Views
siku nilipanda mwendo kasi naenda mitaa flani kwa haraka mida ya mchana.nikakaa dirishani ili niwe na utulivu niweze kutafakari maisha.binafsi napotumia usafiri wa umma huwa nakuwa na nidhamu...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Unamchizi wako ambae zinasomana sana, ana demu au mke wake. Je mnaweza mka share wake zenu? Yaani leo mke wako analala kwake nae wake ana lala kwako? Au siku mnaamua mnapiga foursome? Inakua...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Naombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........
7 Reactions
295 Replies
21K Views
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa...
11 Reactions
101 Replies
9K Views
Habari gani wakuu, Swali kwenu wana jf, je mwanamke/msichana kukubali ombi kutoka kwa mwanaume kuhusu mahusiano ya kimapenzi papo kwa papo hii huwa na maana gani? ..Alikuwa na mapenzi ya dhati...
3 Reactions
56 Replies
10K Views
Usilete uchaga Tanga utaishia kupiga nyet....!!! Unakuta mwanaume anaaibu kama kademu kaform 3c,hawezi kumshika mpenzi wake hata mkono mbele ya watu,hawezi kumkiss mpenzi wake hata kiss la...
9 Reactions
86 Replies
10K Views
Leo nilienda viwanja flani hivi na jamaa mmoja(anajileta leta sijajua bado anachotaka), tukakaa vizuri tukaagiza vinywaji na mimi nikakaa kwa kujiachia na confidence zote naamini nipo na mwanaume...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Special kwa wanawake,,, Usimpe mapenzi mwanaume wako kila cku kwani hicho cyo chakula Ukifanya hivyo kila cku lazma atakinaiwa na kuanza kutamani kutoka nje Ila akikuomba usimnyima jitahidi...
1 Reactions
72 Replies
14K Views
Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Natumai wengi wetu linapokuja suala la kumnasa mrembo huwa kuna siri kubwa baina ya mtu husika kuna wanaotumia kuhonga. Wengine free of charge na kuna...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Watu maarufu hasa wa michezo na muziki wanapata umaarufu haraka kuliko wataalamu wa fani mbalimbali na hata wanasiasa. Watu maarufu hao hao kuna wakati hufilisika ghafla au kwa haraka na mfano...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza Kadri siku zinavyozidi kwenda na kwa miaka kadhaa sasa nimekuja kukugundua katika mahusiano yangu wale mademu zangu wa nje michepuko ndio wako busy zaidi kimawasiliano na...
1 Reactions
3 Replies
837 Views
Sio lazima tukubaliane wanawake wenye sifa ntakazo taja hivi punde wananafasi ya kufika mbali kwenye ndoa, ila kutwa mabinti wa mjini wanahisi Makugwi ndi walimu wazuri wa ndoa kiukweli hawana...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani nyie wadada wa siku hizi hivi mnataka mtu awapende vipi ili mtu kama anawapenda maana kila kitu mnapewa ila bado mnaishia kusaliti tu mna maana gani.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hii naona ndo njia nzuri ya kufanya usipatikane hewani na wakati huo huo simu yako bado ipo ON unapiga, unatuma sms na kuperuzi Ukiwa na mkeo na unahisi utasumbuliwa na mchepuko/michepuko yako...
4 Reactions
37 Replies
11K Views
Kiuhalisia mwanamke na mwanaume ni watu waliotengana kimwili endapo hutakiana kimwili! Mapenzi ni muunganiko wa kimhemko(kihisia) wa kimahaba baina ya mwanamke na mwanaume na ndio huwaunganisha...
5 Reactions
145 Replies
12K Views
Habari zenu warembo na mahandsome wa JF, Napenda kusema hongera ziwafikie walimu wa kike popote walipo hasa wale walioolewa na wanaishi na waume zao kiukweli nyie ni kinamama bora sana kwenye hii...
46 Reactions
476 Replies
28K Views
Aisee kweli dunia inamengi.. 1.nakumbuka siku nipo safarini,nilipofika Arusha ikabidi nichukue Lodge ili nipate pumzika ili kesho take safari iendelee.. Aisee niliona hapakuchi maana nilikuwa...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Hivi mwanaume atakayemuoa nandy atakuwa akiangalia ile clip na billnas wakitomasana maungoni live na watu wote(wakiwemo wazazi wao) wakaona walichokuwa wamezoea kufanya ikiwa pamoja na kutumia ule...
0 Reactions
50 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…