Wanaume kuwa na aibu za kitoto

kritika

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
410
1,152
Usilete uchaga Tanga utaishia kupiga nyet....!!!
Unakuta mwanaume anaaibu kama kademu kaform 3c,hawezi kumshika mpenzi wake hata mkono mbele ya watu,hawezi kumkiss mpenzi wake hata kiss la shavuni mbele ya watu yani mwanaume anakua na utoto sana.
Wengine wanajifanya ni wagumu mara wao ni hip hop hawa wanatokea kaskazini hawako romantic kabisa

Mwenzio naitwa danga sina mapenzi ya kitoto..!!!
 
Ndo wewe uliyechepuka juzi?
 
huyo mchaga haujamuelewa..sio kwamba anaaibu,ni kwamba hawezi kufanya mambo yakis.e.n.ge mbele za watu kama wenyeji wa huko wanavyofanya

wasalimie sana huko tanga
 
Usilete uchaga Tanga utaishia kupiga nyet....!!!
Unakuta mwanaume anaaibu kama kademu kaform 3c,hawezi kumshika mpenzi wake hata mkono mbele ya watu,hawezi kumkiss mpenzi wake hata kiss la shavuni mbele ya watu yani mwanaume anakua na utoto sana.
Wengine wanajifanya ni wagumu mara wao ni hip hop hawa wanatokea kaskazini hawako romantic kabisa

Mwenzio naitwa danga sina mapenzi ya kitoto..!!!

Aisee hapo umenigusa, hata mimi ujanja wangu kwenye key board tu, hapo hunielezi kitu, lkn ikiwa live nakuwa mpole kama maji kwenye mtungi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom