Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Habari zenu warembo na mahandsome wa JF,
Napenda kusema hongera ziwafikie walimu wa kike popote walipo hasa wale walioolewa na wanaishi na waume zao kiukweli nyie ni kinamama bora sana kwenye hii Dunia popote mlipo mnywee mbege baridi.
Hakuna (wife material) wanaojitambua kama walimu wa kike niliowaona mimi.
Unajua kwanini nasema hivi?
Watoto wao lazima kwanza watakuwa vizuri kuanzia kusoma mpaka usafi wa mazingira na mwili.
Wanalea watoto katika misingi mizuri.
Wengi tumeona huko tulikosoma watoto wengi wa walimu walivyokuwa vichwaa na sasa hivi wana kazi nzuri sana fuatilia atakwambia mama yake alikuwa mwalimu.
Kwanzaa jiulize kwanini Marais wengi hasa wa Tanzania wameoa walimu, walimu ni (wife material).
Asikwambie mtu uzaliwe kwenye hizi familia lazima maisha yako yatakuwa fresh.
Mwalim na Mwanajeshi.
Mwalimu na Dr.
Mwalimu na Engineer.
Mwalimu na Mbunge.
Mwalimu na Diwani.
Mwalimu na Mfanyabiashara
Walimu wa kike hongereni kwa kuwa (wife material) mjini na mnakuwa ma First Lady wa Tanzania.
Mrs Jr.