Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

mwelevu mno

Member
May 13, 2018
13
8
Jamani nyie wadada wa siku hizi hivi mnataka mtu awapende vipi ili mtu kama anawapenda maana kila kitu mnapewa ila bado mnaishia kusaliti tu mna maana gani.
 
Waache wanawake wala usiwabugudhi tafadhali! Narudia tena kusema uwaache wanawake.

Waache mama zetu tafadhali!

Ukiwashindwa achana nao ufanye jambo lingine la maana.
Kumbuka bila wanawake haya maisha hayaendi eti
 
Pole kwa yaliyokukuta, ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee mkuu inakuwa ngoma draw.
 
Back
Top Bottom