Watu maarufu hasa wa michezo na muziki wanapata umaarufu haraka kuliko wataalamu wa fani mbalimbali na hata wanasiasa.
Watu maarufu hao hao kuna wakati hufilisika ghafla au kwa haraka na mfano mmojawapo ni mcheza mpira wa kiafrika ambaye sasa anahifadhiwa kwa ndugu na jamaa.Naona kama talaka hasa mkiwa mshazaa inachangia pakubwa.
Ndugu yangu,mwanangu Nasib Abdul una cha kujifunza? (Kwa niaba ya watu maarufu wengine hasa katika sanaa)