Katika mahusiano: Kwa hili suala tusilaumu dada zetu. ifikie hatua tuambiane ukweli tu

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
siku nilipanda mwendo kasi naenda mitaa flani kwa haraka mida ya mchana.nikakaa dirishani ili niwe na utulivu niweze kutafakari maisha.binafsi napotumia usafiri wa umma huwa nakuwa na nidhamu sana.sipendi kuongea au kujifanya mjuaji.

basi nimetulia tu kwenye seat mara akaja mrembo akakaa pembeni yangu mi nikiwa upande wa dirishan.watu wakaongezeka kituo kilichofuata wakasimama wengine. pembeni ya yule dada alisimama kaka mmoja sharobaro... before ya yule ndugu kusimama pale yule dada alikuwa na tabasamu zuri tu na sura yake ikiwa na nuru ya kutosha tu. baada ya muda toka asimame yule kaka nikamwona yule dada anachora matuta/makunyanzi usoni. akaanza kuhema kwa shida sana...maana nlikuwa naona kifua chake kinono kikipanda juu na kushuka.

nikasema hapa isije ikawa nimekaa na dada ana dege dege au kifafa.baada ya muda akanambia "kaka naomba nikae dirishani." nikafanya uungwana nikapimsha nikakaa kwake.baada ya dk chache nikagundua nini kilitaka kumtoa roho yule dada... jamaa aliyesimama karibu na yule dada ananuka mapumbu. yarabi salama!."msafiri kafiri"...nikaona hii sasa dhahma...kumbe ndo maana yule dada alikuwa anashindwa kupumua sababu jamaa korodani zake zina smell ile mbaya.

but ukimcheck jamaa juu ni sharobaro sana... kavaa zile suruali zenu vijana body tight nakadhalika na kadhalika.ila anatoa smell kwenye balls zake. kiukweli sikuweza kuendelea kukaa naye karibu nilimwambia kwa ustaarabu kama hatojali asogee mbele kidogo.nikawaza mbali sana... huyu atakuwa na demu wake.. sasa akipata show ya ghafla inakuaje? akivua nguo na demu akataka kushika mic achane mistari ?si anaweza akalewa kwa ile smell au akazimia kama si kufa kabisa?

na wasiwasi wangu jamaa anaonekana kabisa atakuwa ni wa mikoani.maana hawa jamaa wana ujanja mwitu sana. wanaamini kunuka kama beberu ndo uana ume.mi nilisoma na jamaa chuo waruga ruga hata kupaka mafuta eti wanaona si sawa.wakawa na ngozi zimekakamaa utadhani magoti ya ng'ombe. halafu ikawa mimi nikiwachukulia mademu wao wanakuja juu na kulalamika kumbe na mademu nao wanapenda watu soap soap... siyo ukimpapasa mtu inakuwa kama unamsugua na msasa.

baadaye mnakuja kusema huyu demu nime mhonga sana lakini analiwa na jamaa mwingine... tujikeep wasafi.. siyo mtu unanuka kama beberu... umekaa unaning'niza tu mapumbu kama dume la nyani. yaoshe yaondoe zile nywele zisizofaa... kule chini kuna hitaji usafi siyo kila siku tunalaumu dada zetu usafi na sisi hatujiangalii... mtu akishika mic bada ya hapo anakimbilia toothpick maana kwenye meno yake yamejaa mav*zi tu sababu jamaa hutaki kufanya ukarabati eneo lile.. ikiwa majani tu uwanjani huwa yanasawazishwa itakuwa huko chini?????
 
Harufu ya korodani changanya joto la gari changanya joto la Dar weka hapo hapo na harufu za kwapa mana ni mikono juu kwenye nwendo kasi BASI HAPO NI SAWA NA CHOO CHA SOKONI..
Pole mkuu msg sent
 
Mlijuaje km hiyo harufu ni ya makende??!!labda hakujisaidia vizuri cheche cheche zikabaki??!!
 
Mbaya zaidi ni pale unakuta nguo za juu safi ila boxer nayo ina rangi ya uchafu kunuka.
Yaani hapo ndipo nawachoka vijana wenzangu, dah!
 
siku nilipanda mwendo kasi naenda mitaa flani kwa haraka mida ya mchana.nikakaa dirishani ili niwe na utulivu niweze kutafakari maisha.binafsi napotumia usafiri wa umma huwa nakuwa na nidhamu sana.sipendi kuongea au kujifanya mjuaji.

basi nimetulia tu kwenye seat mara akaja mrembo akakaa pembeni yangu mi nikiwa upande wa dirishan.watu wakaongezeka kituo kilichofuata wakasimama wengine. pembeni ya yule dada alisimama kaka mmoja sharobaro... before ya yule ndugu kusimama pale yule dada alikuwa na tabasamu zuri tu na sura yake ikiwa na nuru ya kutosha tu. baada ya muda toka asimame yule kaka nikamwona yule dada anachora matuta/makunyanzi usoni. akaanza kuhema kwa shida sana...maana nlikuwa naona kifua chake kinono kikipanda juu na kushuka.

nikasema hapa isije ikawa nimekaa na dada ana dege dege au kifafa.baada ya muda akanambia "kaka naomba nikae dirishani." nikafanya uungwana nikapimsha nikakaa kwake.baada ya dk chache nikagundua nini kilitaka kumtoa roho yule dada... jamaa aliyesimama karibu na yule dada ananuka mapumbu. yarabi salama!."msafiri kafiri"...nikaona hii sasa dhahma...kumbe ndo maana yule dada alikuwa anashindwa kupumua sababu jamaa korodani zake zina smell ile mbaya.

but ukimcheck jamaa juu ni sharobaro sana... kavaa zile suruali zenu vijana body tight nakadhalika na kadhalika.ila anatoa smell kwenye balls zake. kiukweli sikuweza kuendelea kukaa naye karibu nilimwambia kwa ustaarabu kama hatojali asogee mbele kidogo.nikawaza mbali sana... huyu atakuwa na demu wake.. sasa akipata show ya ghafla inakuaje? akivua nguo na demu akataka kushika mic achane mistari ?si anaweza akalewa kwa ile smell au akazimia kama si kufa kabisa?

na wasiwasi wangu jamaa anaonekana kabisa atakuwa ni wa mikoani.maana hawa jamaa wana ujanja mwitu sana. wanaamini kunuka kama beberu ndo uana ume.mi nilisoma na jamaa chuo waruga ruga hata kupaka mafuta eti wanaona si sawa.wakawa na ngozi zimekakamaa utadhani magoti ya ng'ombe. halafu ikawa mimi nikiwachukulia mademu wao wanakuja juu na kulalamika kumbe na mademu nao wanapenda watu soap soap... siyo ukimpapasa mtu inakuwa kama unamsugua na msasa.

baadaye mnakuja kusema huyu demu nime mhonga sana lakini analiwa na jamaa mwingine... tujikeep wasafi.. siyo mtu unanuka kama beberu... umekaa unaning'niza tu mapumbu kama dume la nyani. yaoshe yaondoe zile nywele zisizofaa... kule chini kuna hitaji usafi siyo kila siku tunalaumu dada zetu usafi na sisi hatujiangalii... mtu akishika mic bada ya hapo anakimbilia toothpick maana kwenye meno yake yamejaa mav*zi tu sababu jamaa hutaki kufanya ukarabati eneo lile.. ikiwa majani tu uwanjani huwa yanasawazishwa itakuwa huko chini?????
Du kumbe wapo eeh
 
Back
Top Bottom