Kanye west kamuoa Kardashian ikiwa tayari video yake ya ngono imeshatoka lkn maisha mpaka leo yanaendelea.
We unaonaje.Hivi Kanye West badala ya upande mwingine yupo sawa sawa kweli kwa mtazamo wako?
NakaziaAtajua ni mapito tu aliyoyapitia..kama amependa kweli hawezi jisikia vibaya kisa hiyo video
Kanye west kamuoa Kardashian ikiwa tayari video yake ya ngono imeshatoka lkn maisha mpaka leo yanaendelea.
Nikweli lkn tamaduni zinaingilianaUtamaduni wa America na bongo hapa ni tofauti mkuu tena sana tu.
Sasa utamlinganishaje kim na nandyMbona west kamuoa Kim pamoja na video zake za ngono?
Yalopita Si ndwele
Tigo inausikaje kwenye ile video mbona niliona wanatomasana tu au ilikuwa inaendelea mbele ndiyo kuna mambo ya tigoHivi mwanaume atakayemuoa nandy atakuwa akiangalia ile clip na billnas wakitomasana maungoni live na watu wote(wakiwemo wazazi wao) wakaona walichokuwa wamezoea kufanya ikiwa pamoja na kutumia ule mtandao pendwa (0713....), atakuwa anafikiria nn?