Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 716
Sio lazima tukubaliane wanawake wenye sifa ntakazo taja hivi punde wananafasi ya kufika mbali kwenye ndoa, ila kutwa mabinti wa mjini wanahisi Makugwi ndi walimu wazuri wa ndoa kiukweli hawana lolote la maana la kufundisha mabinti na wengi wao hawaishi na waume/waliachika siku. Binti jua kuwa Mwanaume anataka mwanamke
[HASHTAG]#Anayejua[/HASHTAG] mapenzi.
[HASHTAG]#Anayejua[/HASHTAG] kusaka pesa.
[HASHTAG]#Anayejua[/HASHTAG] madiko na
[HASHTAG]#Anajua[/HASHTAG] Kumtafuta Mungu.
We call it MKE MWEMA.
BALANCE DIET YAKE IMEBALANSIKA HASAAA.
Wewe kazana kukatika tuuu alafu usisake pesa ama usiombe uone kama Kiuno kinatunzaga ndoa.
Mbona Makungwi wale WANAACHIKA KILA UCHAO KAMA KIUNO NI NDOA.
Ndo maana kina dada nawaambiaga wasikose magnesium na jivu kuzuia Kiungilia.
Maana post zangu kuna saa zinaletaga kiungulia.
NB:UKITAKA MKE MWEMA LAZIMA NA WEWE UWE MWEMA KWANZA.