Can you shares wives/girlfriends with your close friend?

Can you shares wives/girlfriends with your close friend?

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Unamchizi wako ambae zinasomana sana, ana demu au mke wake. Je mnaweza mka share wake zenu?
Yaani leo mke wako analala kwake nae wake ana lala kwako?

Au siku mnaamua mnapiga foursome?
Inakua amani yani bila wivu wala nini.

Hii imekaaje?
 
ngoja nikasilimie kwanza ndo tuje tuongee[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Michezo ya wazungu hyo,sie africa bado tuna stara.huku kwetu labda threesomes
 
nature, mwanaume hawez shea mwanamke na mwanaume mwenzake ila mwanamke anaweza na akawa comfortable. Labda wanaume waliotokea sayar ya Jupiter wataweza
 
Mambo ya wazungu haya Mkuu. Siye Wadengereko THUBUTU!!! Eti umruhusu GF wako au mke agegedwe na rafiki!!!! Hatunaga mambo ya kipuuzi puuzi kama Wazungu.

Back
Top Bottom