Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai nyinyi ni wazima wa afya. Wakuu kuna jamaa yangu ameoa huu ni mwaka wa pili yupo ndani ya ndoa ndoano.Tatizo ni kuwa mke wa jamaa ni mama wa nyumbani hivyo anagawa uroda kwa baba mwenye...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii. Binafsi...
46 Reactions
713 Replies
69K Views
Hatimaye Dogo anawowa! Dogo kawapiga watu wee mwisho wa siku alijua atawowa wapi Ni kama Alikiba kupiga wadada wa mjini alafu kawowa Mombasa Kama wewe ndio ex wa Prince Harry sijui una Hali...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi, Mliopo kwenye mfungo, hongereni kwa Swaumu. Twende kwenye mada, mnamo mwaka Jana waliajiriwa staff wapya hapa ofisini kwetu, mmoja wapo kati yao nimebahatika kuwa nae...
4 Reactions
183 Replies
12K Views
Mwanamke mjinga ambaye ni mwerevu hutafutwa na wanaume wajinga ambao ni waerevu kwa dua na maombi, pia husitiri maungo yake kwa mavazi nadhifu na yenye staha..... Ndege wafananao huruka pamoja na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jioni hii nimekutana na binti flani kimo cha kati mweusi,juu mkubwa chini mdogo(umbo la simba dume) Kavaa suruali ya kuchanika chanika kama chizi muokota makopo Nikamsimamisha nikamwomba namba...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Unajua watz sio waelewa kabisaaa hasa vijana Kauli Mbiu ya Nchi ni "Tanzania ya Viwanda" Viwanda vinavyongelewa ni Viwanda vya: 1. Chakula (Food) 2. Dawa, Hospitali (Food) 3. Malazi (Real...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Wa mwanzo nitamzungumzia mwanamke niliye zaa nae. Nilikua nimempangia sehemu tofauti na nilipokua naishi. Japo alitamani kua na mimi muda wote lakini haikuwezekana kutokana na mazingira ila mara...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Shamsa amesisitiza kwamba mwanaume kusaliti ni jambo la kwaida, ila kwenye suala la usaliti kuna kiwango ambacho hakiwezi...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Tupo katika kizazi kibovu na haswa kwenye ndoa,mahusiano na malezi kwa lugha maridhawa tupo katika kizazi kigumu sana ...... Idadi ya wanawake wenye umri wa miaka 25 na kuendelea walio zaa kabla...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Asalaaam, Kwanza nikiri kiukweli urafiki mwingi kati ya wanawake na wanaume huishia katika mahusiano au urafiki wa faida [friends with benefits]. Wapo wanaoenda mbali nakusema urafiki kati ya me...
33 Reactions
223 Replies
25K Views
Siku kama wiki nyuma nilikuwa naumwa niko tu gheto nimelala sijaenda mishe wala nini yaani ata ile kutoka tu kwenda dukani imekuwa inshu siwezi , Basi bhana niko na mpenz wangu japo hatuishi...
7 Reactions
71 Replies
6K Views
Habarini Chiefs Kiukweli mimi Kudo,mara nyingi huwa sipendi ugomvi na mwanamke niwae kimahusiano,na tabia hii imepelekea wanawake niliodate nao kushindwa kuelewa kama nimewaacha au bado nipo...
7 Reactions
105 Replies
10K Views
Habari zenu, Nimekua nikipita humu jukwaani na mara nyingi nimeona watu wengi wana feli sana katika kuwaelewa wanawake. Mimi nimekua nikifanya tafiti zangu kwa muda mrefu sana pamoja na kusoma...
4 Reactions
253 Replies
23K Views
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke aliyekamilika ila kama una tabia hizi utazeekea nyumbani 1: Tamaa ya utajili,fedha na mali pasipo kujua kuwa mali na vitu hutafutwa Hapa wengi hupoteza nyota...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi sikubaliani na kitendo cha kumuacha mwanamke unayempenda kisa kakulet down au kakukwaza kwa namna moja ama nyingine. Kila mwanamke ana maudhi yake. Kikibwa na kumchagua mmoja...
12 Reactions
47 Replies
6K Views
Makabila mengi yenye watu wavivu hususani wanaume wanagongewa sana wake zao hasa makabila ya pwani wazaramo na waluguru wanaume wengi wanacheza bao karata dhumna basi wake zao wanapotoka kwenda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge. Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Nawaandikieni nyie waume, maana Mungu amewapa hekima na busara ya kuwa kichwa na kutawala yale yaliyo chini yenu. Unafahamu kwamba vitu unavyovifanya wakati mwanamke wako anapokua mjamzito...
14 Reactions
39 Replies
4K Views
Nadhani sipotezi muda sana Ukweni walileta za kuleta kwamba wao wanipangie tarehe ya kuoa lakini nilichofanya 1. Nikasema chukueni binti yenu mi sipangiwi na sijaribiwi 2. Nikakata mawasiliano...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…