Ndoa bila malipo ndiyo habari ya mjini

Ndoa bila malipo ndiyo habari ya mjini

Hivi mahari ya siku moja au mimi kujumuika na familia yenu for the rest of my life kipi muhimu? Ukienda kwenu nakupa sukari mfuko,mafuta ndoo,mchele kg 25 n.k

Ila nikitoa mahari ndio imetoka hawatonione tena
 
Desturi zetu ilikua ni kambuzi kamoja kwa ajili ya mila na debe la pombe kwa ajili ya wazee shughuli imeisha,,, sasa wanataka hadi milion tano
Haha..kama yamekukuta ya million tano pole sana shem

Kuna jamii mambo ya mbuzi bado yapo na hizo debe..ila tunatofautiana..mfano kwa desturi zetu sisi wa ruvuma mwanaume mbuzi nne n'gombe nne..bado vikolokolo vya bibi sijui babu

Shem toa tu mahari..ukiwaza sana utamkosa jolie
 
wagegede tuu sii wanawake wenyewe wamekubali kugegedwa bila mahari
 
Haha..kama yamekukuta ya million tano pole sana shem

Kuna jamii mambo ya mbuzi bado yapo na hizo debe..ila tunatofautiana..mfano kwa desturi zetu sisi wa ruvuma mwanaume mbuzi nne n'gombe nne..bado vikolokolo vya bibi sijui babu

Shem toa tu mahari..ukiwaza sana utamkosa jolie
za kunyumba?
 
Hahaha mimi sitoi,sio kww vyuma hivi[emoji23] [emoji23] jolie kasema atatoroka nyumban [emoji23]
 
Back
Top Bottom